Tupe maoni yako
'Niliwekewa dawa ya usingizi na kubakwa na mume wangu kwa miaka kadhaa'
-
Gumzo la kawaida liligeuka pale mume wake alikiri kwamba amekuwa akimtilia
dawa ya usingizi kwenye chai na kumbaka.
3 hours ago
asante sana kaka gsengo kwakutujali sisi wanablog wako asante japo nimeona kidogo sehemu ya arusha umefanya vizuri kuonyesha picha ya arusha lakini pale sema barabara mbovu hujaandika hapo ni wapi naomba safari nyingine ukituwekea picha utueleze ni sehemu gani maana wengine tumetoka nyumbani sikunyingi tumesha sahau maeneo kutoka mabadiliko ya mji na ujenzi asante kwa picha endelea kutuletea zaidi
ReplyDelete