ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, June 16, 2010

HAPPY BIRTHDAY MTOTO MARIAM.

Nimepokea picha toka kwa mdau wa blog hii mamaa Ester wa paleee... za borzdei ya mwanae ENDELEA:-
MTOTO MARIAM KHERI MCHUME AMETIMIZA MWAKA AMBAPO ALIFANYIWA SHEREHE SAFI. PICHANI AKIWA AMESHIKILIWA NA MAMA YAKE ESTER.

MARIAM AKIWA NA RAFIKIYE BRITNEY

RAFIKIZE MARIAM WAKIMWIMBIA KALE KA WIMBO.

HAYA NDO MAMBO, FURAHIA UTAMU WAKE!

MARIAM NA BABA YAKE.

HONGERA MTOTO MARIAM KWA KUTIMIZA MWAKA MMOJA MUNGU AWAPE NGUVU, HEKIMA NA BUSARA WAZAZI WAKO, WAKULEE KATIKA MAADILI MEMA SAMBAMBA NA KUIZINGATIA ELIMU.

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. Weeee weee!!!! Esther wakimbize huko!!! Mwaaa mwaaaa kwa mtoto wako na kwako ila kwa mumeo mpe hi nyingi sana. Mjukuu huyo mtunze ati. Mwambie namtakia birthday njema halafu zawadi yake aikute http://lulukivulini.blogspot.com/

    Aunt Lulu Hapa (Kubwa la maadui)

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.