DEFENDER WA TIMU YA TAIFA YA GHANA SAMUEL INKOOM AKIWA AMEBEBA BENDERA YA AFRIKA YA KUSINI KUUTAMBULISHA USHINDI WAO KUWA NI USHINDI WA AFRIKA. Ghana itakutana na Uruguay katika mchezo wa robo fainali July 2 katika mji wa Johannesburg.
USIKU WA KUAMKIA LEO MITAANI ILIKUWA SHUGHULI. MASHABIKI WA TIMU YA TAIFA YA GHANA KTK MJI MKUU WA NCHI HIYO WAKISHEREHEKEA BAADA YA TIMU HIYO YA AFRIKA KUIBANJUA KTK MUDA WA NYONGEZA, USA 2-1 JUNE 26, 2010. BAO LA DAKIKA YA 3 EXTRA TIME, TOKA KWAKE ASAMOAH GYAN NDILO LILILOTOA USHINDI KWA TIMU HIYO.
BALOZI NCHIMBI AFUNGA KAZI RUVUMA
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John
Nchimbi, amehitimisha ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma, akisisitiza
kuwa CCM itaen...
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
Very good blog.
ReplyDelete