MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA YAMEMALIZIKA JANA YAKIWA NA SIFA KEDE KEDE. PICHANI ASKARI WANYAMA PORI RAYMOND NKAMBI AKIFAFANUA JAMBO KWA WAUNGWANA WALIOZURU BANDA LA HIFADHI WANYAMA PORI.
YALE MATAABIKO YA KUSAKA WATAALAM WA KUREMBESHA BUSTANI ZETU TIBA YAKE HII HAPA... TUPO ILEMELA MWANZA, KUPATA HUDUMA PIGA SIMU 0786048818.
WAKAZI WA ILEMELA MAENEO YA PASIANSI, BWILU, SABASABA, KISEKE, MALIASILI, LUMALA, IGOMBE, AIR PORT HUDUMA ZA SHIRIKA LA UMEME NCHINI TANESCO ZIMEWAFUATA HUKO HUKO OFISI ZINAPATIKANA NJIA YA KUELEKEA TBL.
UTAIFA MBEEEELE! BANDA LA WAPASHAJI HABARI WA SERIKALI NCHINI, LILI SHINE ILE KISAWASAWA.
AFYA BORA NDIYO RASILIMALI MUHIMU KULIKO NYINGINE ZOTE KATIKA MAISHA YA BINADAMU YEYOTE. LAKINI WENGI TU WAZITO KUPIMA AFYA ZETU MARA KWA MARA. PICHANI AFISA MASOKO CLOUDS MWANZA HUMPHREY SIMON AKIPIMA AFYA KWA WATAALAM WA BIMA YA AFYA (NHIF).
LAITI ULE UKARIMU NA MAKARIBISHO MAZURI KATIKA MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA UNGEHAMIA KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA KILA SIKU YA IDARA HIZO ZA SERIKALI, AAAAAAAHHH! ALADJI! ALADJI! TZ YETU INGEKUWA MWAAAAAH! KINOMANOMA.
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.