ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, May 30, 2010

ROCK CITY NDANI YA 'A TOWN' HUTAKI?

ARUSHA KUNA SALON KALI LAKINI HII INAMEK HEADLINE YAITWA 'ROCK CITY BARBER SHOP' AMBAMO HUMO NDANI HUDUMA ZA MASSAGE, KUCHA NA NAKSHI ZOTE ZINAPATIKANA.

THAMANI ZA NDANI KONA HII.

WATU WANAPATA SERVICE.

NAPATA HUDUMA TOKA KWA MSHKAJI WHITE B' KINYOZI WANGU LONG TIME TANGU SKULI.

ENGO YA KATI SEHEMU YA MASUBIRIO.

NAKSHI NAKSHI.

HATIMAYE MLANGO HUO - NIKASEPA.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.