Tupe maoni yako
LATRA YASISITIZA MATUMIZI YA TIKETI MTANDAO ILI KUZIBA MIANYA YA MAPATO
-
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka watoa huduma wa
tiketi mtandao kuunganisha mifumo yao na mfumo wa serikali inayosimamiwa na
LATRA ...
3 hours ago
sasa ni kwanini basi kamati za miba za yanga, simba,toto,majimaji,mtibwa na timu zingine zote za nchini zisiungane na kuunda kikosi cha miba taifa ili stazi ichukue kombe la dunia, badala ya TFF kushikilia kamati wenyewe wakati timu ni ya taifa
ReplyDelete