ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, February 17, 2010

ETI KAMIS KETU KIMEO?


TUKIO LA MISS TANZANIA 2009 2010 MIRIAM GELARD KUKAMATWA, KUPANDISHWA KIZIMBANI KISHA FASTA FASTA KUPELEKWA RUMANDE KWENYE GEREZA LA SEGEREA DAR ES SALAAM NA HATIMAYE KUACHIWA KWA DHAMANA. SUALA HILI LIMEPOKEWA KWA UZITO MKUBWA, LIKITIZAMWA KWA MAUMIVU MAKALI NA MASWALI MENGI TOKA KWA WAKAZI WA KANDA YA ZIWA HUSUSANI MKOA WA MWANZA ALIKOTOKA. KAMA MDAU WA HABARI NIMETUMIWA SMS NYINGI KAMA MASWALI NA NYINGINE KAMA MAJIBU VILE, NAMI NAZIMWAGA KAMA ZILIVYO...

>>>TATIZO MAMOU\MIRIAM AKIPENDA ANAPENDA KWELI MPAKA ANASAHAU MJUKUMU YAKE KWA TAIFA.
>>>MISS HUYU ANAHISI DUNIA KAIMALIZA KABISA KUMBE HAKO NI KATAITO TU.
>>>NASHAURI ANGEBAKI NA BOY FREND WAKE WA ZAMANI PAUL ALIYEKUWA MSHAURI MZURI KWAKE.
>>>TABIA YA UGOMVI, KIBURI NA UONGO KWA MIRIAM TANGU ZAMANI, UNAKUMBUKA ALIPOMSINGIZIA BOY FRIEND WAKE WA ZAMANI KUWA ALIFIKA KAMBINI MZ AKIWA NA BASTOLA NA KUMFANYIA FUJO ASISHIRIKI MASHINDANO YA MAMISS?
>>>MWONGO ALIDAI NI MWANAFUNZI WA CBE MWANZA NA BADO ANASOMA MBONA HATUMJUI NA MBONA HAJARUDI SHULE KUENDELEA NA MASOMO?
>>>KAMATI YA MISS TZ YOTE KIMEO KUANZIA JUU MPAKA KWA WADHAMINI, SIUNAJUWA WANACHOKITAKA? MIRIAM ALIBANA KUTOA KWA MDAU MMOJA NDO MANA YOTE HAYA YAMEMKUTA TIME IMEFIKA KUWAUMBUA.
>>>OH 'NITAWASAIDIA WATOTO WANAOISHI MAZINGIRA MAGUMU' KWA HALI HII.. MISS TANZANIA KIINI MACHO AKA SANAA TUPU.
>>>DUU EBANA KAKA NIMEJARIBU SANA KUGOOGLE JINA LA HUYU MTOTO WA MAHINA NECTA TENEDU ILI KUPATA MATOKEA YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE NA SITA BUT SIJAPATA JINA KANA HILO, SASA HAPA SIJUI IMEKAA VIPI? NINA MASHAKA HAJAMALIZA HATA O LEVEL.

NAAHIDI KUZIPITIA SMS ZAKO KIKAMILIFU KISHA KUZIANIKA HAPA....... LAKINI PLIZ TUSIHUKUMU KABLA YA KUHAKIKI.....NITUMIE MAONI YAKO KUPITIA albertgsengo@yahoo.com NAMI NITAFIKISHA.

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. duu ebwana kaka mimi nimejaribu sana kugoogle jina la huyu mtoto wa mahina necta,tanedu ili kupata matokeo ya mtihani wa kidato cha nne na sita lkn sijapata jina kama hilo, sasa kaka hapa sijui imekaa vipi, ninamashaka hajamaliza hata o-level

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.