IMEKUWA NI POA TU KWA MAGARI YA KUBEBA TAKA YA MANISPAA YA JIJI LA MWANZA KUSOMBA TAKA HUKU YAKITIRIRISHA UCHAFU BARABARANI.
KWA KIPINDI SASA MFULULIZO MKOA WA MWANZA UMEKUWA UKIIBUKA MSHINDI KTK TUZO YA USAFI. LAKINI KAMA WAHENGA WASEMAVYO "MGEMA UKIMSIFIA TEMBO HULITIA MAJI"
MAGARI YA UBEBAJI TAKA HUSUSANI MAGARI YA MABAKI YA SAMAKI TOKA VIWANDANI MWANZA HAYANA USTAARABU
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.