MEZA KUU YA WAHESHIMIWA
"WANAOFANYA VITENDO VYA UDHALILISHAJI WANAFAHAMIKA WAZI NA KWA KUSIKIA FUNUNU, HEBU TUAMUE SASA, KUWABAINI HATUTASHINDWA KWAKUFANYA HIVYO TUTAISAIDIA SERIKALI NA WATOTO AMBAO WAKO KATIKA HATARI KUBWA YA KUENDELEA KUDHALILISHWA NA KUUMIZWA KIAFYA"
WAKATI SERIKALI NA VYOMBO VYAKE VIKIFANYA KAZI YAKE WANANCHI PIA TUNAPASWA KUSHIRIKI KATIKA KUWABAINI WAFANYAO VITENDO VYA UDHALILISHAJI.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.