YOTE TISA MAMBO YOTE LEO IJUMAA (23/10/2009) PALE NYUMBANI HOTEL BURUDANI KUPAMBWA NAYE ISMAIL, MRISHO MPOTO AKA MJOMBA NA PHILBERT KABAGO.FASHION SHOW YA MAVAZI TOKA KWA WHITNEY FASHION NA FLORA BR. SHOP TIKETI YAKO MKONONI UNCHOMA NDANI.SHUGHULI NZIMA IMEANDALIWA NA VODACOM NA KURATIBIWA NA FLORA TALENT PROMOTION YA JIJINI MWANZA.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.