ANAUJASIRI SANA MBELE YA WANYAMA HASA WAFUGWAO. YUKO FREE KUWALISHA, KUKAANAO KARIBU KWA STYLE NA STYLE HUYU NI MSANII MAARUFU AFRIKA MASHARIKI MAUNDA ZORO.
KATIKA PICHA MAPOKEZI YA MWILI WA BALOZI DR KAMALA
-
Ni Simanzi kubwa mapokezi ya Mwili wa Balozi Kamala
Jeneza lenye Mwili wa mpendwa wetu
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh Erasto Siima amewaongoza wananchi katika...
wow! safi sana maunda. kumbe unazo za kindungu namna hii, tehe, tehe, tehe
ReplyDelete