HIKI NI KITUO MOJAWAPO MAARUFU MJINI MUSOMA KINACHOTOA HUDUMA ZA GARAGE NA UOSHAJI MAGARI, PEMBENI YAKE KUNA BANDA LA CHIPS+SODA SEHEMU SWAFI KIMTINDO KWA POZI. PICHA YA KWANZA JUU NI GARI LA MATANGAZO YA MOJAKWA MOJA CLOUDS FM LIKIKOSHWA NDANI YA ZIARA YA FIESTA MARA, NALO LILIIFANYA SEHEMU HII KAMA BAFU LAKE.
Je, wajua kwanini Tembo wanachukia nyuki?
-
Wanawake huathirika kwa kiasi kikubwa zaidi na migogoro kati ya binadamu na
tembo, anaeleza King. Mara nyingi wao hufanya kazi mashambani na hulazimika
kuw...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.