ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, August 27, 2009

"SAA NANE" SIYO MAJIRA YA WAKATI! NAZUNGUMZIA KISIWA!

ENEO HILI LA MAPUMZIKO AMBALO LIMESANIFIWA KITALII UTALIPATA NDANI YA KISIWA CHA SAA NANE UWANDA WA CHINI KABISA KUELEKEA ZIWANI. KUNA MITI NA UPEPO MWANANA USOKERA KAMA UMEPIMWA KWA RULA TEHE!!

Tupe maoni yako

3 comments:

  1. bora umerudi nilikuwa namiss habari na picha za mwanza si unajua tena huku ughaibuni tuna hamu ya kutaka kujua yanayoendelea nyumbani. Naona saanane inakarabatiwa safi sana ni hifadhi ya pekee tanzania

    BMK

    ReplyDelete
  2. MDAU WANGU BMK NIMEKUSOMA SANA SANA, ONDOA SHAKA NI MASUALA YA MTANDAO NDO YALIKUWA YAKIZINGUA LAKINI SASA YAKO POA HIVYO KUANZIA TAREHE 1 SEPTEMBER MAJIRA YA MCHANA NGOMA ITAKUWA MDUNDO NYUZI BIN NYUZI. BIG UP MZAZI KWA KUWA MFUATILIAJI INGAWA SIJAJUA UKO MAJUU IPI YA UGHAIBUNI. TEH

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.