Tupe maoni yako
ULEGA ZIARANI KUKAGUA MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIWA NA MAFURIKO MKURANGA
-
Mbunge wa Jimbo la Mkuranga ambaye pia ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe.
Abdallah Ulega leo Aprili 27, 2024 ametembelea maeneo yalioathiriwa na
mafuriko...
1 hour ago
bora umerudi nilikuwa namiss habari na picha za mwanza si unajua tena huku ughaibuni tuna hamu ya kutaka kujua yanayoendelea nyumbani. Naona saanane inakarabatiwa safi sana ni hifadhi ya pekee tanzania
ReplyDeleteBMK
MDAU WANGU BMK NIMEKUSOMA SANA SANA, ONDOA SHAKA NI MASUALA YA MTANDAO NDO YALIKUWA YAKIZINGUA LAKINI SASA YAKO POA HIVYO KUANZIA TAREHE 1 SEPTEMBER MAJIRA YA MCHANA NGOMA ITAKUWA MDUNDO NYUZI BIN NYUZI. BIG UP MZAZI KWA KUWA MFUATILIAJI INGAWA SIJAJUA UKO MAJUU IPI YA UGHAIBUNI. TEH
ReplyDeleteniko UK mkuu
ReplyDeleteBMK