🎙️ IJUMAA HII ndani ya #DriveMix 🔥
Tunapata nafasi ya kipekee kuzungumza na Dkt. Renatus Shinhu — Mkurugenzi wa Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria 💧
🗓 MAY 15
⏰ Saa 10 Jioni – Saa 1 Jioni
📻 LIVE ON Jembe FM
Tutaangazia masuala muhimu kuelekea siku ya ziwa Viktoria Usikose kushiriki nasi kupitia simu na mitandao yetu ya kijamii 📲
#JembeFM #DriveMix #LiveInterview #LVBWB RenatusShinhu Mwanza JembeNiJembe
Tupe maoni yako

0 comments:
Post a Comment