• HOME

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, May 21, 2026

DKT. MWIGULU ATAKA ULINZI NA UHIFADHI WA ZIWA VICTORIA.

Thursday, May 21, 2026  HABARI  No comments


WAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba amesema nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zina wajibu wa kuendelea kushirikiana kwa karibu katika kulinda na kuhifadhi mazingira ya Ziwa Victoria ili kuhakikisha rasilimali hiyo muhimu inaendelea kuwa chanzo cha maisha, ajira na maendeleo kwa mamilioni ya wananchi wa ukanda huo.

Akizungumza leo Alhamisi Mei 21, 2026 wakati wa uzinduzi rasmi wa Siku ya Ziwa Victoria na kufunga kilele cha maadhimisho ya kwanza yaliyofanyika katika Viwanja vya Nanenane Nyamhongolo jijini Mwanza, Dkt. Nchemba amesema Ziwa Victoria si mali ya taifa moja pekee bali ni hazina ya pamoja inayounganisha nchi za Afrika Mashariki kiuchumi, kijamii na kimazingira.

Amesema kauli mbiu ya maadhimisho hayo isemayo “Maji Yetu, Mustakabali Wetu: Tuungane kwa Uendelevu wa Bonde la Ziwa Victoria” inapaswa kuwa chachu ya kuongeza uwajibikaji wa pamoja katika usimamizi wa rasilimali za maji, ulinzi wa mazingira pamoja na kuimarisha mshikamano wa kikanda.

“Ziwa Victoria ni uti wa mgongo wa maisha ya watu wetu. Linatoa ajira kupitia uvuvi, usafiri wa majini, biashara na shughuli nyingine za kiuchumi, hivyo ni lazima tulinde mazingira yake kwa nguvu zote,” amesema Dkt. Nchemba.

Aidha amesema Serikali itaendelea kushirikiana na nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika kuimarisha usalama majini, kudhibiti uharibifu wa mazingira na kutumia teknolojia za kisasa katika usimamizi wa shughuli zinazofanyika ndani na pembezoni mwa ziwa hilo.

Katika hotuba yake, Waziri Mkuu pia amesisitiza umuhimu wa kuimarisha mifumo ya uokoaji majini ili kuzuia ajali pamoja na matumizi ya mifumo ya kidijitali kufuatilia shughuli za uvuvi, ubora wa maji na athari za mabadiliko ya tabianchi ambazo zimeendelea kuwa tishio kwa mazingira ya Ziwa Victoria.

Kadhalika, ametoa rai kwa taasisi za utafiti na wadau wa mazingira kuendelea kufanya tafiti zitakazosaidia kupatikana kwa suluhisho la changamoto mbalimbali zinazoikabili Ziwa Victoria ikiwemo ongezeko la magugu maji, uchafuzi wa mazingira na uharibifu wa vyanzo vya maji.

“Sote tunawajibika kuhakikisha Ziwa Victoria linaendelea kuwa salama na lenye manufaa kwa kizazi cha sasa na vizazi vijavyo,” amesisitiza Dkt. Nchemba.

Kwa upande wake, Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema Tanzania itaendelea kuwa mstari wa mbele katika juhudi za kulinda na kuhifadhi Ziwa Victoria kutokana na mchango wake mkubwa katika uchumi, usalama wa chakula na maendeleo ya wananchi wa ukanda wa ziwa.

Maadhimisho hayo yamewakutanisha viongozi wa Serikali, wadau wa mazingira, taasisi za utafiti pamoja na wananchi kwa lengo la kujadili namna bora ya kuhifadhi na kutumia kwa uendelevu rasilimali za Bonde la Ziwa Victoria.

      

Tupe maoni yako

Albert G.Sengo
Tweet
Newer Post Older Post

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

SIKILIZA JEMBE FM LIVE

CRDB

CRDB

MATANGAZO

AZAM TV LIVE

AZAM TV LIVE

TANZANIA MISS WORLD

TANZANIA MISS WORLD

SIKILIZA LIVE JEMBE FM

http://tun.in/sfi0U

Become a Fan

Followers

HABARI MPYA

HABARI MPYA

KARIBU MWANZA

KARIBU MWANZA

Popular Posts

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013-2014 HAYA HAPA.
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2014-2015
  • MAPINDUZI MAKUBWA UCHAGUZI WA MZFA YAFANYIKA MWENYEKITI APETA, KADUTU AUKWAA UWAKILISHI VILABU KWA ASILIMIA 100
  • MAUAJI YA KUTISHA MKOANI MWANZA, BABA, MAMA NA MTOTO WAUAWAWA KINYAMA BILA HURUMA.
  • ILIVYOKUWA HARUSI YA H.BABA NA FLORA MVUNGI
  • WATU ZAIDI YA 35 WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI ILIYOTOKEA LEO MKOANI MARA
  • DRINKINGS SUPPLY FOR CEREMONIES AND SPECIAL FUNCTION
  • NGOMA MPYA YA VANESSA MDEE ft BARNABA - SIRI
  • NGOMA MPYA YA NEY LEE ft NEY WA MITEGO - USINIKATAE.
  • MBUNGE WA ILEMELA ABAINISHA UBABAISHAJI MKUBWA ULIOFANYWA UJENZI WA BARABARA MPYA YA BUZURUGA, PASIANSI, SANGA, KILOLELI.

Latest Tweets

 

HASHEEM THABEET

HASHEEM THABEET

BABA WA TAIFA JK.

BABA WA TAIFA JK.

VIEWERS

MITANDAO MINGINE

  • MTAA KWA MTAA BLOG
    TAEC Yajadili Mustakabali wa Nishati ya Nyuklia Rwanda - *Na Mwandishi Wetu-Kigali, Rwanda* *TUME ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) imeshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali kuhusu Uvumbuzi wa Nishati ya N...
    54 minutes ago
  • LIBENEKE LA KASKAZINI
    TANESCO YAENDELEA KUIMARISHA MATUMIZI YA TEHAMA KUBORESHA HUDUMA - Na Woinde Shizza, Arusha Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeendelea kuonesha dhamira yake ya kuendana na kasi ya maendeleo ya teknolojia duniani ...
    2 hours ago
  • MICHUZI BLOG
    AIRTEL YAFUNGUA DUKA LA KIDIJITALI KUIMARISHA HUDUMA ZA MAWASILIANO NA FEDHA MTANDAONI - KAMPUNI ya Airtel Tanzania imezindua Duka la Kidijitali (Smart Shop) katika Mkoa wa Mwanza, hatua inayolenga kusogeza karibu zaidi huduma za mawasilian...
    14 hours ago
  • JIACHIE
    RAIS DKT SAMIA ATUMA UJUMBE MAALUM KWA RAIS WA CHINA - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Waziri wa Idara ya Kimataifa ya Chama cha Kikomunisti cha China Mhe....
    1 day ago
  • BBCSwahili.com | Habari
    Dira Ya Dunia - Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
    1 day ago
  • HABARI NA MATUKIO
    CRDB Yaongeza Ushirikiano na Majeshi Kupitia Mkutano wa Kimataifa - MONACO - Benki ya CRDB imeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kuunga mkono maendeleo ya Taifa kupitia sekta mbalimbali kwa kushiriki katika Mkutano Mkuu...
    1 day ago
  • BUKOBAWADAU
    WAZIRI WA ARDHI AWAASA WAHITIMU ARIMO KUJIEPUSHA NA MATENDO MAOVU - Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa chuo cha Ardhi Mor...
    5 months ago
  • MATUKIO UK
    KATUNI YA LEO -
    7 years ago
  • ChingaOne
    Pata taarifa ya sakata la Madawa ya kulevya linavyoendelea - MAKONDA AKAMIWA: MBUNGE CCM ATAKA ACHUNGUZWE MALI ZAKE, WEMA AKWAMA VITA iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ya kupambana na bias...
    9 years ago
  • MSUMBANEWS.COM
    -
  • BUKOBA SPORTS
    -

CATEGORIES

  • +HABARI (2)
  • 88.1FM Mwanza. (23)
  • 93.7 JEMBE FM (9)
  • AFY (1)
  • AFYA (541)
  • AFYA. (5)
  • aHABARI (1)
  • AIR TANZANIA (1)
  • AJALI (50)
  • ARDHI (1)
  • ARUSHA (13)
  • BANGO (423)
  • BANGO. (1)
  • BANGU (1)
  • BIASHARA (442)
  • BIASHARA. (2)
  • BUNGENI (2)
  • bur (1)
  • buriani (22)
  • buriani michael (5)
  • BURUDA (1)
  • BURUDANI (1162)
  • BURUDANI. (301)
  • BURUDANI. JEMBE GOSPEL (1)
  • BURUDDANI (2)
  • BWISYA (1)
  • CCM (46)
  • CHAKULA (17)
  • CHANGA LA MACHO (37)
  • CHEREKO (118)
  • chunguza mjomba utabaini (2)
  • chunguza mjomba utabaini 007 (21)
  • chunguza mjomba utabaini. (385)
  • CLOUDS FM (4)
  • DAR ES SALAAM (14)
  • DINI (1)
  • EDUCATION / ELIMU (8)
  • ELIM (1)
  • ELIMU (479)
  • ELIMU. (8)
  • ENZI ZA KALE (5)
  • FIESTA (70)
  • FYA (1)
  • GABARI (1)
  • GABARI. (1)
  • GOSPEL (4)
  • GOSPEL TANZANIA (5)
  • Gospel traxx na G.Sengo (57)
  • HABA (1)
  • HABAFRI (2)
  • habar (3)
  • HABARI (6022)
  • HABARI MWANZA (2)
  • HABARI. (257)
  • HABAROI (1)
  • HABATRI (1)
  • hali ya hewa (18)
  • HBARI (1)
  • HISTORIA (6)
  • HUZU (1)
  • huzuni (222)
  • IBADA (22)
  • IKULU (1)
  • INJILI (4)
  • JEMBE (4)
  • Jembe Gospel (34)
  • Jembe Gospel. (14)
  • JEMBEKA (8)
  • JINSIA (1)
  • KAZI DARASA (1)
  • KENYA (1)
  • KIFUATACHO (9)
  • KILIMO (100)
  • KILIMO. (6)
  • KISIWA CHA SAA NANE (1)
  • KUMBUKUMBU (26)
  • kutoka kushoto (1)
  • limu (1)
  • M (2)
  • MABARI (2)
  • MADINI (1)
  • MAGAZETI (2)
  • MAGUFULI (1)
  • MAHAKAMANI (29)
  • MAHUSIANO (22)
  • MAJI (1)
  • Mapishi (1)
  • MARA (1)
  • mawasi (1)
  • MAWASILANO (1)
  • MAWASILIA (1)
  • MAWASILIANO (247)
  • MAWASILIANO. (4)
  • MAZINGIRA (24)
  • MCHEZO (4)
  • MGOMO (2)
  • MI (1)
  • MICH (1)
  • miche (1)
  • MICHEO (3)
  • MICHEZO (1996)
  • MICHEZO. (32)
  • MICHOEZO (1)
  • MIFUGO (1)
  • MILA NA DESTURI (1)
  • miti (1)
  • MITINDO (94)
  • MKICHEZO (1)
  • MSAADA (18)
  • MSIBA (5)
  • MUSOMA (8)
  • MUSUKUMA (1)
  • MUZIKI (4)
  • MUZIKI WA DANSI (1)
  • MWANZA (158)
  • NANE NANE (1)
  • ndani ya 88.1FM Mwanza. (7)
  • NDOA (1)
  • NYERERE DAY (2)
  • POLISI (1)
  • REKODI (1)
  • SAFARI (16)
  • SANAA (22)
  • SENSA (2)
  • SENSA 2022 (10)
  • SHERIA (2)
  • SHINYANGA (8)
  • SIASA (295)
  • SIsa (1)
  • SOMA (11)
  • TAMISEMI (1)
  • TANGAZO (1)
  • TANZANIA (2)
  • TEKNOLOJIA (8)
  • TIGO F (1)
  • TUTAFIKA (76)
  • tz oyeee (72)
  • U (1)
  • UCHAGUZI (26)
  • UCHAGUZI 2015 (218)
  • UCHAGUZI 2024 (11)
  • UCHAGUZI CCM (12)
  • UCHAGUZI KENYA 2022 (24)
  • UCHAGUZI MKUU 2025 (44)
  • UCHAGUZI MKUU UGANDA 2026 (1)
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA (7)
  • UCHU (1)
  • UCHUMI (624)
  • UCHUMI. (11)
  • UJASILIAMALI (6)
  • UJENZI (5)
  • UKARA (1)
  • UKEREWE (1)
  • USAFIRI NA USAFIRISHAJI (1)
  • utabaini 007 (1)
  • UTALII (172)
  • UTALII. (5)
  • UTAMADUNI (1)
  • UVUVI (1)
  • UWEKEZAJI (8)
  • UZIMA (2)
  • WAISLAMU (1)
  • WIZARA YA UVUVI NA MIFUGO (1)
  • ZAMA (1)
  • ZAMA ZA SIKUKUU (222)
  • ZIMAMOTO (1)

Blog Archive

  • 05/17 - 05/24 (4)
  • 05/10 - 05/17 (7)
  • 05/03 - 05/10 (12)
  • 04/26 - 05/03 (10)
  • 04/19 - 04/26 (5)
  • 04/12 - 04/19 (8)
  • 04/05 - 04/12 (13)
  • 03/29 - 04/05 (8)
  • 03/22 - 03/29 (11)
  • 03/15 - 03/22 (9)
  • 03/08 - 03/15 (14)
  • 03/01 - 03/08 (11)
  • 02/22 - 03/01 (14)
  • 02/15 - 02/22 (15)
  • 02/08 - 02/15 (15)
  • 02/01 - 02/08 (1)
  • 01/25 - 02/01 (5)
  • 01/18 - 01/25 (7)
  • 01/11 - 01/18 (15)
  • 01/04 - 01/11 (3)
  • 12/28 - 01/04 (3)
  • 12/21 - 12/28 (4)
  • 12/14 - 12/21 (7)
  • 12/07 - 12/14 (12)
  • 11/30 - 12/07 (6)
  • 11/23 - 11/30 (5)
  • 11/16 - 11/23 (5)
  • 10/26 - 11/02 (1)
  • 10/19 - 10/26 (6)
  • 10/12 - 10/19 (16)
  • 10/05 - 10/12 (4)
  • 09/28 - 10/05 (4)
  • 09/21 - 09/28 (4)
  • 09/14 - 09/21 (21)
  • 09/07 - 09/14 (8)
  • 08/31 - 09/07 (6)
  • 08/24 - 08/31 (15)
  • 08/17 - 08/24 (6)
  • 08/10 - 08/17 (12)
  • 08/03 - 08/10 (11)
  • 07/27 - 08/03 (11)
  • 07/20 - 07/27 (15)
  • 07/13 - 07/20 (5)
  • 07/06 - 07/13 (1)
  • 06/29 - 07/06 (19)
  • 06/22 - 06/29 (19)
  • 06/15 - 06/22 (8)
  • 06/08 - 06/15 (11)
  • 06/01 - 06/08 (7)
  • 05/25 - 06/01 (7)
  • 05/18 - 05/25 (5)
  • 05/11 - 05/18 (18)
  • 05/04 - 05/11 (6)
  • 04/27 - 05/04 (14)
  • 04/20 - 04/27 (7)
  • 04/13 - 04/20 (13)
  • 04/06 - 04/13 (11)
  • 03/30 - 04/06 (6)
  • 03/23 - 03/30 (15)
  • 03/16 - 03/23 (12)
  • 03/09 - 03/16 (10)
  • 03/02 - 03/09 (14)
  • 02/23 - 03/02 (21)
  • 02/16 - 02/23 (10)
  • 02/09 - 02/16 (14)
  • 02/02 - 02/09 (6)
  • 01/26 - 02/02 (17)
  • 01/19 - 01/26 (10)
  • 01/12 - 01/19 (11)
  • 01/05 - 01/12 (9)
  • 12/29 - 01/05 (1)
  • 12/22 - 12/29 (3)
  • 12/15 - 12/22 (13)
  • 12/08 - 12/15 (8)
  • 12/01 - 12/08 (19)
  • 11/24 - 12/01 (16)
  • 11/17 - 11/24 (21)
  • 11/10 - 11/17 (12)
  • 11/03 - 11/10 (12)
  • 10/27 - 11/03 (11)
  • 10/20 - 10/27 (10)
  • 10/13 - 10/20 (17)
  • 10/06 - 10/13 (8)
  • 09/29 - 10/06 (10)
  • 09/22 - 09/29 (8)
  • 09/15 - 09/22 (11)
  • 09/08 - 09/15 (10)
  • 09/01 - 09/08 (9)
  • 08/25 - 09/01 (22)
  • 08/18 - 08/25 (10)
  • 08/11 - 08/18 (9)
  • 08/04 - 08/11 (8)
  • 07/28 - 08/04 (6)
  • 07/21 - 07/28 (7)
  • 07/14 - 07/21 (11)
  • 07/07 - 07/14 (8)
  • 06/30 - 07/07 (2)
  • 06/23 - 06/30 (13)
  • 06/16 - 06/23 (11)
  • 06/09 - 06/16 (10)
  • 06/02 - 06/09 (8)
  • 05/26 - 06/02 (14)
  • 05/19 - 05/26 (9)
  • 05/12 - 05/19 (12)
  • 05/05 - 05/12 (7)
  • 04/28 - 05/05 (16)
  • 04/21 - 04/28 (2)
  • 04/14 - 04/21 (6)
  • 04/07 - 04/14 (8)
  • 03/31 - 04/07 (8)
  • 03/24 - 03/31 (12)
  • 03/17 - 03/24 (9)
  • 03/10 - 03/17 (16)
  • 03/03 - 03/10 (9)
  • 02/25 - 03/03 (5)
  • 02/18 - 02/25 (12)
  • 02/11 - 02/18 (6)
  • 02/04 - 02/11 (4)
  • 01/28 - 02/04 (9)
  • 01/21 - 01/28 (12)
  • 01/14 - 01/21 (7)
  • 01/07 - 01/14 (7)
  • 12/31 - 01/07 (8)
  • 12/24 - 12/31 (1)
  • 12/17 - 12/24 (6)
  • 12/10 - 12/17 (9)
  • 12/03 - 12/10 (7)
  • 11/26 - 12/03 (14)
  • 11/19 - 11/26 (8)
  • 11/12 - 11/19 (15)
  • 11/05 - 11/12 (7)
  • 10/29 - 11/05 (10)
  • 10/22 - 10/29 (12)
  • 10/15 - 10/22 (3)
  • 10/08 - 10/15 (12)
  • 10/01 - 10/08 (3)
  • 09/24 - 10/01 (7)
  • 09/17 - 09/24 (6)
  • 09/10 - 09/17 (6)
  • 09/03 - 09/10 (6)
  • 08/27 - 09/03 (12)
  • 08/20 - 08/27 (6)
  • 08/13 - 08/20 (5)
  • 08/06 - 08/13 (6)
  • 07/30 - 08/06 (3)
  • 07/23 - 07/30 (11)
  • 07/16 - 07/23 (16)
  • 07/09 - 07/16 (12)
  • 07/02 - 07/09 (8)
  • 06/25 - 07/02 (3)
  • 06/18 - 06/25 (11)
  • 06/11 - 06/18 (16)
  • 06/04 - 06/11 (9)
  • 05/28 - 06/04 (7)
  • 05/21 - 05/28 (13)
  • 05/14 - 05/21 (19)
  • 05/07 - 05/14 (18)
  • 04/30 - 05/07 (20)
  • 04/23 - 04/30 (19)
  • 04/16 - 04/23 (10)
  • 04/09 - 04/16 (24)
  • 04/02 - 04/09 (27)
  • 03/26 - 04/02 (22)
  • 03/19 - 03/26 (27)
  • 03/12 - 03/19 (17)
  • 03/05 - 03/12 (20)
  • 02/26 - 03/05 (20)
  • 02/19 - 02/26 (24)
  • 02/12 - 02/19 (29)
  • 02/05 - 02/12 (21)
  • 01/29 - 02/05 (9)
  • 01/22 - 01/29 (18)
  • 01/15 - 01/22 (26)
  • 01/08 - 01/15 (14)
  • 01/01 - 01/08 (20)
  • 12/25 - 01/01 (7)
  • 12/18 - 12/25 (13)
  • 12/11 - 12/18 (9)
  • 12/04 - 12/11 (10)
  • 11/27 - 12/04 (26)
  • 11/20 - 11/27 (25)
  • 11/13 - 11/20 (8)
  • 11/06 - 11/13 (30)
  • 10/30 - 11/06 (31)
  • 10/23 - 10/30 (21)
  • 10/16 - 10/23 (12)
  • 10/09 - 10/16 (16)
  • 10/02 - 10/09 (18)
  • 09/25 - 10/02 (17)
  • 09/18 - 09/25 (16)
  • 09/11 - 09/18 (16)
  • 09/04 - 09/11 (15)
  • 08/28 - 09/04 (11)
  • 08/21 - 08/28 (12)
  • 08/14 - 08/21 (21)
  • 08/07 - 08/14 (17)
  • 07/31 - 08/07 (9)
  • 07/24 - 07/31 (7)
  • 07/17 - 07/24 (7)
  • 07/10 - 07/17 (13)
  • 07/03 - 07/10 (20)
  • 06/26 - 07/03 (14)
  • 06/19 - 06/26 (12)
  • 06/12 - 06/19 (13)
  • 06/05 - 06/12 (14)
  • 05/29 - 06/05 (15)
  • 05/22 - 05/29 (8)
  • 05/15 - 05/22 (9)
  • 05/08 - 05/15 (4)
  • 05/01 - 05/08 (10)
  • 04/24 - 05/01 (9)
  • 04/17 - 04/24 (7)
  • 04/10 - 04/17 (23)
  • 04/03 - 04/10 (19)
  • 03/27 - 04/03 (8)
  • 03/20 - 03/27 (26)
  • 03/13 - 03/20 (15)
  • 03/06 - 03/13 (22)
  • 02/20 - 02/27 (1)
  • 02/13 - 02/20 (1)
  • 02/06 - 02/13 (1)
  • 01/30 - 02/06 (3)
  • 01/23 - 01/30 (9)
  • 01/16 - 01/23 (9)
  • 01/09 - 01/16 (2)
  • 01/02 - 01/09 (9)
  • 12/26 - 01/02 (2)
  • 12/19 - 12/26 (5)
  • 12/12 - 12/19 (16)
  • 12/05 - 12/12 (22)
  • 11/28 - 12/05 (20)
  • 11/21 - 11/28 (23)
  • 11/14 - 11/21 (14)
  • 11/07 - 11/14 (1)
  • 10/31 - 11/07 (3)
  • 08/22 - 08/29 (1)
  • 08/15 - 08/22 (13)
  • 08/08 - 08/15 (17)
  • 08/01 - 08/08 (11)
  • 07/25 - 08/01 (1)
  • 07/18 - 07/25 (1)
  • 07/11 - 07/18 (1)
  • 11/08 - 11/15 (1)
  • 04/26 - 05/03 (1)
  • 03/29 - 04/05 (5)
  • 03/22 - 03/29 (9)
  • 03/15 - 03/22 (16)
  • 03/08 - 03/15 (10)
  • 03/01 - 03/08 (13)
  • 02/23 - 03/01 (12)
  • 02/16 - 02/23 (10)
  • 02/09 - 02/16 (12)
  • 02/02 - 02/09 (15)
  • 01/26 - 02/02 (8)
  • 01/19 - 01/26 (6)
  • 01/12 - 01/19 (9)
  • 01/05 - 01/12 (18)
  • 12/29 - 01/05 (20)
  • 12/22 - 12/29 (8)
  • 12/15 - 12/22 (5)
  • 12/08 - 12/15 (18)
  • 12/01 - 12/08 (21)
  • 11/24 - 12/01 (15)
  • 11/17 - 11/24 (20)
  • 11/10 - 11/17 (21)
  • 11/03 - 11/10 (32)
  • 10/27 - 11/03 (16)
  • 10/20 - 10/27 (31)
  • 10/13 - 10/20 (28)
  • 10/06 - 10/13 (16)
  • 09/29 - 10/06 (9)
  • 09/22 - 09/29 (12)
  • 09/15 - 09/22 (17)
  • 09/08 - 09/15 (17)
  • 09/01 - 09/08 (14)
  • 08/25 - 09/01 (6)
  • 08/18 - 08/25 (13)
  • 08/11 - 08/18 (18)
  • 08/04 - 08/11 (12)
  • 07/28 - 08/04 (17)
  • 07/21 - 07/28 (27)
  • 07/14 - 07/21 (18)
  • 07/07 - 07/14 (24)
  • 06/30 - 07/07 (19)
  • 06/23 - 06/30 (20)
  • 06/16 - 06/23 (20)
  • 06/09 - 06/16 (23)
  • 06/02 - 06/09 (12)
  • 05/26 - 06/02 (21)
  • 05/19 - 05/26 (16)
  • 05/12 - 05/19 (20)
  • 05/05 - 05/12 (20)
  • 04/28 - 05/05 (15)
  • 04/21 - 04/28 (11)
  • 04/14 - 04/21 (17)
  • 04/07 - 04/14 (20)
  • 03/31 - 04/07 (23)
  • 03/24 - 03/31 (22)
  • 03/17 - 03/24 (20)
  • 03/10 - 03/17 (19)
  • 03/03 - 03/10 (7)
  • 02/24 - 03/03 (10)
  • 02/17 - 02/24 (1)
  • 02/10 - 02/17 (3)
  • 12/16 - 12/23 (1)
  • 12/09 - 12/16 (5)
  • 12/02 - 12/09 (36)
  • 11/25 - 12/02 (36)
  • 11/18 - 11/25 (37)
  • 11/11 - 11/18 (26)
  • 11/04 - 11/11 (26)
  • 10/28 - 11/04 (29)
  • 10/21 - 10/28 (26)
  • 10/14 - 10/21 (26)
  • 10/07 - 10/14 (40)
  • 09/30 - 10/07 (37)
  • 09/23 - 09/30 (19)
  • 09/16 - 09/23 (27)
  • 09/09 - 09/16 (33)
  • 09/02 - 09/09 (31)
  • 08/26 - 09/02 (42)
  • 08/19 - 08/26 (33)
  • 08/12 - 08/19 (34)
  • 08/05 - 08/12 (34)
  • 07/29 - 08/05 (35)
  • 07/22 - 07/29 (29)
  • 07/15 - 07/22 (35)
  • 07/08 - 07/15 (47)
  • 07/01 - 07/08 (42)
  • 06/24 - 07/01 (43)
  • 06/17 - 06/24 (39)
  • 06/10 - 06/17 (42)
  • 06/03 - 06/10 (39)
  • 05/27 - 06/03 (34)
  • 05/20 - 05/27 (34)
  • 05/13 - 05/20 (40)
  • 05/06 - 05/13 (24)
  • 04/29 - 05/06 (33)
  • 04/22 - 04/29 (34)
  • 04/15 - 04/22 (32)
  • 04/08 - 04/15 (24)
  • 04/01 - 04/08 (29)
  • 03/25 - 04/01 (21)
  • 03/18 - 03/25 (39)
  • 03/11 - 03/18 (40)
  • 03/04 - 03/11 (29)
  • 02/25 - 03/04 (40)
  • 02/18 - 02/25 (35)
  • 02/11 - 02/18 (34)
  • 02/04 - 02/11 (33)
  • 01/28 - 02/04 (45)
  • 01/21 - 01/28 (39)
  • 01/14 - 01/21 (25)
  • 01/07 - 01/14 (26)
  • 12/31 - 01/07 (34)
  • 12/24 - 12/31 (16)
  • 12/17 - 12/24 (28)
  • 12/10 - 12/17 (32)
  • 12/03 - 12/10 (37)
  • 11/26 - 12/03 (31)
  • 11/19 - 11/26 (28)
  • 11/12 - 11/19 (32)
  • 11/05 - 11/12 (30)
  • 10/29 - 11/05 (36)
  • 10/22 - 10/29 (24)
  • 10/15 - 10/22 (47)
  • 10/08 - 10/15 (42)
  • 10/01 - 10/08 (32)
  • 09/24 - 10/01 (36)
  • 09/17 - 09/24 (32)
  • 09/10 - 09/17 (40)
  • 09/03 - 09/10 (26)
  • 08/27 - 09/03 (39)
  • 08/20 - 08/27 (35)
  • 08/13 - 08/20 (39)
  • 08/06 - 08/13 (24)
  • 07/30 - 08/06 (24)
  • 07/23 - 07/30 (45)
  • 07/16 - 07/23 (60)
  • 07/09 - 07/16 (50)
  • 07/02 - 07/09 (32)
  • 06/25 - 07/02 (39)
  • 06/18 - 06/25 (49)
  • 06/11 - 06/18 (47)
  • 06/04 - 06/11 (48)
  • 05/28 - 06/04 (34)
  • 05/21 - 05/28 (37)
  • 05/14 - 05/21 (36)
  • 05/07 - 05/14 (30)
  • 04/30 - 05/07 (43)
  • 04/23 - 04/30 (39)
  • 04/16 - 04/23 (30)
  • 04/09 - 04/16 (38)
  • 04/02 - 04/09 (41)
  • 03/26 - 04/02 (42)
  • 03/19 - 03/26 (37)
  • 03/12 - 03/19 (40)
  • 03/05 - 03/12 (48)
  • 02/26 - 03/05 (50)
  • 02/19 - 02/26 (43)
  • 02/12 - 02/19 (33)
  • 02/05 - 02/12 (30)
  • 01/29 - 02/05 (38)
  • 01/22 - 01/29 (41)
  • 01/15 - 01/22 (46)
  • 01/08 - 01/15 (47)
  • 01/01 - 01/08 (37)
  • 12/25 - 01/01 (40)
  • 12/18 - 12/25 (42)
  • 12/11 - 12/18 (38)
  • 12/04 - 12/11 (39)
  • 11/27 - 12/04 (36)
  • 11/20 - 11/27 (44)
  • 11/13 - 11/20 (42)
  • 11/06 - 11/13 (46)
  • 10/30 - 11/06 (34)
  • 10/23 - 10/30 (40)
  • 10/16 - 10/23 (51)
  • 10/09 - 10/16 (39)
  • 10/02 - 10/09 (55)
  • 09/25 - 10/02 (52)
  • 09/18 - 09/25 (36)
  • 09/11 - 09/18 (42)
  • 09/04 - 09/11 (54)
  • 08/28 - 09/04 (35)
  • 08/21 - 08/28 (34)
  • 08/14 - 08/21 (33)
  • 08/07 - 08/14 (32)
  • 07/31 - 08/07 (47)
  • 07/24 - 07/31 (46)
  • 07/17 - 07/24 (41)
  • 07/10 - 07/17 (37)
  • 07/03 - 07/10 (46)
  • 06/26 - 07/03 (37)
  • 06/19 - 06/26 (35)
  • 06/12 - 06/19 (27)
  • 06/05 - 06/12 (24)
  • 05/29 - 06/05 (30)
  • 05/22 - 05/29 (21)
  • 05/15 - 05/22 (39)
  • 05/08 - 05/15 (45)
  • 05/01 - 05/08 (33)
  • 04/24 - 05/01 (44)
  • 04/17 - 04/24 (51)
  • 04/10 - 04/17 (46)
  • 04/03 - 04/10 (32)
  • 03/27 - 04/03 (39)
  • 03/20 - 03/27 (51)
  • 03/13 - 03/20 (48)
  • 03/06 - 03/13 (39)
  • 02/28 - 03/06 (50)
  • 02/21 - 02/28 (29)
  • 02/14 - 02/21 (46)
  • 02/07 - 02/14 (47)
  • 01/31 - 02/07 (41)
  • 01/24 - 01/31 (43)
  • 01/17 - 01/24 (38)
  • 01/10 - 01/17 (40)
  • 01/03 - 01/10 (35)
  • 12/27 - 01/03 (38)
  • 12/20 - 12/27 (41)
  • 12/13 - 12/20 (30)
  • 12/06 - 12/13 (39)
  • 11/29 - 12/06 (28)
  • 11/22 - 11/29 (35)
  • 11/15 - 11/22 (33)
  • 11/08 - 11/15 (39)
  • 11/01 - 11/08 (34)
  • 10/25 - 11/01 (40)
  • 10/18 - 10/25 (32)
  • 10/11 - 10/18 (45)
  • 10/04 - 10/11 (48)
  • 09/27 - 10/04 (45)
  • 09/20 - 09/27 (49)
  • 09/13 - 09/20 (39)
  • 09/06 - 09/13 (37)
  • 08/30 - 09/06 (24)
  • 08/23 - 08/30 (43)
  • 08/16 - 08/23 (47)
  • 08/09 - 08/16 (28)
  • 08/02 - 08/09 (37)
  • 07/26 - 08/02 (45)
  • 07/19 - 07/26 (18)
  • 07/12 - 07/19 (48)
  • 07/05 - 07/12 (39)
  • 06/28 - 07/05 (19)
  • 06/21 - 06/28 (34)
  • 06/14 - 06/21 (37)
  • 06/07 - 06/14 (37)
  • 05/31 - 06/07 (38)
  • 05/24 - 05/31 (30)
  • 05/17 - 05/24 (26)
  • 05/10 - 05/17 (23)
  • 05/03 - 05/10 (27)
  • 04/26 - 05/03 (29)
  • 04/19 - 04/26 (21)
  • 04/12 - 04/19 (23)
  • 04/05 - 04/12 (25)
  • 03/29 - 04/05 (23)
  • 03/22 - 03/29 (39)
  • 03/15 - 03/22 (22)
  • 03/08 - 03/15 (34)
  • 03/01 - 03/08 (28)
  • 02/22 - 03/01 (26)
  • 02/15 - 02/22 (24)
  • 02/08 - 02/15 (26)
  • 02/01 - 02/08 (20)
  • 01/25 - 02/01 (23)
  • 01/18 - 01/25 (25)
  • 01/11 - 01/18 (25)
  • 01/04 - 01/11 (21)
  • 12/28 - 01/04 (24)
  • 12/21 - 12/28 (19)
  • 12/14 - 12/21 (31)
  • 12/07 - 12/14 (26)
  • 11/30 - 12/07 (21)
  • 11/23 - 11/30 (23)
  • 11/16 - 11/23 (20)
  • 11/09 - 11/16 (23)
  • 11/02 - 11/09 (27)
  • 10/26 - 11/02 (22)
  • 10/19 - 10/26 (24)
  • 10/12 - 10/19 (20)
  • 10/05 - 10/12 (32)
  • 09/28 - 10/05 (22)
  • 09/21 - 09/28 (26)
  • 09/14 - 09/21 (24)
  • 09/07 - 09/14 (31)
  • 08/31 - 09/07 (22)
  • 08/24 - 08/31 (21)
  • 08/17 - 08/24 (27)
  • 08/10 - 08/17 (22)
  • 08/03 - 08/10 (27)
  • 07/27 - 08/03 (21)
  • 07/20 - 07/27 (24)
  • 07/13 - 07/20 (25)
  • 07/06 - 07/13 (30)
  • 06/29 - 07/06 (27)
  • 06/22 - 06/29 (27)
  • 06/15 - 06/22 (22)
  • 06/08 - 06/15 (16)
  • 06/01 - 06/08 (28)
  • 05/25 - 06/01 (25)
  • 05/18 - 05/25 (26)
  • 05/11 - 05/18 (28)
  • 05/04 - 05/11 (24)
  • 04/27 - 05/04 (23)
  • 04/20 - 04/27 (18)
  • 04/13 - 04/20 (21)
  • 04/06 - 04/13 (22)
  • 03/30 - 04/06 (31)
  • 03/23 - 03/30 (25)
  • 03/16 - 03/23 (30)
  • 03/09 - 03/16 (19)
  • 03/02 - 03/09 (24)
  • 02/23 - 03/02 (15)
  • 02/16 - 02/23 (20)
  • 02/09 - 02/16 (26)
  • 02/02 - 02/09 (23)
  • 01/26 - 02/02 (35)
  • 01/19 - 01/26 (20)
  • 01/12 - 01/19 (28)
  • 01/05 - 01/12 (25)
  • 12/29 - 01/05 (26)
  • 12/22 - 12/29 (23)
  • 12/15 - 12/22 (29)
  • 12/08 - 12/15 (21)
  • 12/01 - 12/08 (20)
  • 11/24 - 12/01 (25)
  • 11/17 - 11/24 (27)
  • 11/10 - 11/17 (21)
  • 11/03 - 11/10 (32)
  • 10/27 - 11/03 (30)
  • 10/20 - 10/27 (22)
  • 10/13 - 10/20 (24)
  • 10/06 - 10/13 (19)
  • 09/29 - 10/06 (21)
  • 09/22 - 09/29 (23)
  • 09/15 - 09/22 (20)
  • 09/08 - 09/15 (26)
  • 09/01 - 09/08 (27)
  • 08/25 - 09/01 (24)
  • 08/18 - 08/25 (24)
  • 08/11 - 08/18 (19)
  • 08/04 - 08/11 (21)
  • 07/28 - 08/04 (23)
  • 07/21 - 07/28 (23)
  • 07/14 - 07/21 (22)
  • 07/07 - 07/14 (24)
  • 06/30 - 07/07 (28)
  • 06/23 - 06/30 (29)
  • 06/16 - 06/23 (28)
  • 06/09 - 06/16 (30)
  • 06/02 - 06/09 (27)
  • 05/26 - 06/02 (26)
  • 05/19 - 05/26 (14)
  • 05/12 - 05/19 (25)
  • 05/05 - 05/12 (26)
  • 04/28 - 05/05 (27)
  • 04/21 - 04/28 (17)
  • 04/14 - 04/21 (16)
  • 04/07 - 04/14 (22)
  • 03/31 - 04/07 (12)
  • 03/24 - 03/31 (23)
  • 03/17 - 03/24 (24)
  • 03/10 - 03/17 (21)
  • 03/03 - 03/10 (19)
  • 02/24 - 03/03 (24)
  • 02/17 - 02/24 (22)
  • 02/10 - 02/17 (20)
  • 02/03 - 02/10 (21)
  • 01/27 - 02/03 (26)
  • 01/20 - 01/27 (24)
  • 01/13 - 01/20 (27)
  • 01/06 - 01/13 (24)
  • 12/30 - 01/06 (22)
  • 12/23 - 12/30 (31)
  • 12/16 - 12/23 (9)
  • 12/09 - 12/16 (29)
  • 12/02 - 12/09 (24)
  • 11/25 - 12/02 (28)
  • 11/18 - 11/25 (19)
  • 11/11 - 11/18 (26)
  • 11/04 - 11/11 (32)
  • 10/28 - 11/04 (22)
  • 10/21 - 10/28 (25)
  • 10/14 - 10/21 (22)
  • 10/07 - 10/14 (28)
  • 09/30 - 10/07 (31)
  • 09/23 - 09/30 (22)
  • 09/16 - 09/23 (20)
  • 09/09 - 09/16 (27)
  • 09/02 - 09/09 (18)
  • 08/26 - 09/02 (19)
  • 08/19 - 08/26 (31)
  • 08/12 - 08/19 (27)
  • 08/05 - 08/12 (28)
  • 07/29 - 08/05 (28)
  • 07/22 - 07/29 (29)
  • 07/15 - 07/22 (35)
  • 07/08 - 07/15 (30)
  • 07/01 - 07/08 (42)
  • 06/24 - 07/01 (29)
  • 06/17 - 06/24 (35)
  • 06/10 - 06/17 (30)
  • 06/03 - 06/10 (21)
  • 05/27 - 06/03 (25)
  • 05/20 - 05/27 (21)
  • 05/13 - 05/20 (19)
  • 05/06 - 05/13 (22)
  • 04/29 - 05/06 (23)
  • 04/22 - 04/29 (24)
  • 04/15 - 04/22 (26)
  • 04/08 - 04/15 (22)
  • 04/01 - 04/08 (20)
  • 03/25 - 04/01 (25)
  • 03/18 - 03/25 (16)
  • 03/11 - 03/18 (19)
  • 03/04 - 03/11 (17)
  • 02/26 - 03/04 (13)
  • 02/19 - 02/26 (18)
  • 02/12 - 02/19 (17)
  • 02/05 - 02/12 (11)
  • 01/29 - 02/05 (18)
  • 01/22 - 01/29 (11)
  • 01/15 - 01/22 (17)
  • 01/08 - 01/15 (20)
  • 01/01 - 01/08 (17)
  • 12/25 - 01/01 (14)
  • 12/18 - 12/25 (15)
  • 12/11 - 12/18 (12)
  • 12/04 - 12/11 (14)
  • 11/27 - 12/04 (21)
  • 11/20 - 11/27 (25)
  • 11/13 - 11/20 (21)
  • 11/06 - 11/13 (14)
  • 10/30 - 11/06 (17)
  • 10/23 - 10/30 (18)
  • 10/16 - 10/23 (17)
  • 10/09 - 10/16 (18)
  • 10/02 - 10/09 (8)
  • 09/25 - 10/02 (13)
  • 09/18 - 09/25 (10)
  • 09/11 - 09/18 (13)
  • 09/04 - 09/11 (14)
  • 08/28 - 09/04 (11)
  • 08/21 - 08/28 (17)
  • 08/14 - 08/21 (9)
  • 08/07 - 08/14 (19)
  • 07/31 - 08/07 (14)
  • 07/24 - 07/31 (17)
  • 07/17 - 07/24 (12)
  • 07/10 - 07/17 (23)
  • 07/03 - 07/10 (14)
  • 06/26 - 07/03 (16)
  • 06/19 - 06/26 (15)
  • 06/12 - 06/19 (19)
  • 06/05 - 06/12 (16)
  • 05/29 - 06/05 (20)
  • 05/22 - 05/29 (20)
  • 05/15 - 05/22 (20)
  • 05/08 - 05/15 (17)
  • 05/01 - 05/08 (25)
  • 04/24 - 05/01 (15)
  • 04/17 - 04/24 (13)
  • 04/10 - 04/17 (17)
  • 04/03 - 04/10 (15)
  • 03/27 - 04/03 (14)
  • 03/20 - 03/27 (17)
  • 03/13 - 03/20 (23)
  • 03/06 - 03/13 (14)
  • 02/27 - 03/06 (15)
  • 02/20 - 02/27 (17)
  • 02/13 - 02/20 (14)
  • 02/06 - 02/13 (19)
  • 01/30 - 02/06 (17)
  • 01/23 - 01/30 (17)
  • 01/16 - 01/23 (14)
  • 01/09 - 01/16 (12)
  • 01/02 - 01/09 (13)
  • 12/26 - 01/02 (13)
  • 12/19 - 12/26 (12)
  • 12/12 - 12/19 (16)
  • 12/05 - 12/12 (15)
  • 11/28 - 12/05 (17)
  • 11/21 - 11/28 (13)
  • 11/14 - 11/21 (15)
  • 11/07 - 11/14 (13)
  • 10/31 - 11/07 (7)
  • 10/24 - 10/31 (12)
  • 10/17 - 10/24 (4)
  • 10/10 - 10/17 (6)
  • 10/03 - 10/10 (14)
  • 09/26 - 10/03 (10)
  • 09/19 - 09/26 (6)
  • 09/12 - 09/19 (8)
  • 09/05 - 09/12 (13)
  • 08/29 - 09/05 (14)
  • 08/22 - 08/29 (13)
  • 08/15 - 08/22 (12)
  • 08/08 - 08/15 (7)
  • 08/01 - 08/08 (13)
  • 07/25 - 08/01 (5)
  • 07/18 - 07/25 (8)
  • 07/11 - 07/18 (10)
  • 07/04 - 07/11 (10)
  • 06/27 - 07/04 (16)
  • 06/20 - 06/27 (12)
  • 06/13 - 06/20 (10)
  • 06/06 - 06/13 (7)
  • 05/30 - 06/06 (12)
  • 05/23 - 05/30 (11)
  • 05/16 - 05/23 (17)
  • 05/09 - 05/16 (15)
  • 05/02 - 05/09 (13)
  • 04/25 - 05/02 (11)
  • 04/18 - 04/25 (11)
  • 04/11 - 04/18 (6)
  • 04/04 - 04/11 (5)
  • 03/28 - 04/04 (9)
  • 03/21 - 03/28 (6)
  • 03/14 - 03/21 (4)
  • 03/07 - 03/14 (5)
  • 02/28 - 03/07 (5)
  • 02/21 - 02/28 (4)
  • 02/14 - 02/21 (3)
  • 02/07 - 02/14 (4)
  • 01/31 - 02/07 (1)
  • 01/24 - 01/31 (4)
  • 01/17 - 01/24 (4)
  • 01/10 - 01/17 (3)
  • 01/03 - 01/10 (5)
  • 12/27 - 01/03 (5)
  • 12/20 - 12/27 (7)
  • 12/13 - 12/20 (4)
  • 12/06 - 12/13 (5)
  • 11/29 - 12/06 (3)
  • 11/22 - 11/29 (6)
  • 11/15 - 11/22 (3)
  • 11/08 - 11/15 (2)
  • 11/01 - 11/08 (1)
  • 10/25 - 11/01 (5)
  • 10/18 - 10/25 (11)
  • 10/11 - 10/18 (1)
  • 10/04 - 10/11 (3)
  • 09/27 - 10/04 (7)
  • 09/20 - 09/27 (10)
  • 09/13 - 09/20 (11)
  • 09/06 - 09/13 (15)
  • 08/30 - 09/06 (17)
  • 08/23 - 08/30 (5)
  • 08/09 - 08/16 (10)
  • 08/02 - 08/09 (7)
  • 07/26 - 08/02 (25)
  • 07/19 - 07/26 (6)
  • 07/12 - 07/19 (1)
  • 07/05 - 07/12 (1)
  • 06/28 - 07/05 (2)
  • 06/21 - 06/28 (5)
  • 06/07 - 06/14 (4)

DIRECTORY AD

 
Copyright © g sengo