Wanawake hao wakiwa wamevalia jezi ya timu yao kwenye picha.

Watumiaji wa X waliacha maoni yakibishana kuhusu jinsia zao, huku wengi wakipendekeza kuwa hawawezi kuwa wanawake.

Baadhi ya wachezaji wa timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Zimbabwe wamesambaa kwa kasi baada ya picha zao kusambazwa mtandaoni.



Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.