ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, October 18, 2024

HARMONIZE ATOBOA SIRI MAHABA YAKE NA KAJALA -USIKU WA BURUDANI SIKU YA MWALIMU DUNIANI BUKOMBE

 NA ALBERT GSENGO / BUKOMBE


Siri iliyomo moyoni aianika wazi, siku ya Mwalimu Duniani iliyoadhimishwa wilayani Bukombe katika viwanja vya Shule ya Sekondari Ushirombo mnamo tarehe 11 Octoba 2024 ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, sherehe hizo sanjari na kuwa na burudani za kutosha nyakati za mchana pia usiku zilipambwa na Bonge Moja la Burudani kutoka kwa mwanamuziki wa kimataifa toka 'Konde Gang' Harmonize.

#ikulumawasiliano
#samiasuluhuhassan
#kondegang
#harmonize

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.