NA. ALBERT G. SENG0/MWALONI/MWANZA
IMEZOELEKA ukifika dukani ukaagiza bidhaa mathalani ya sukari, mara nyingi utapimiwa kwa mizani inayotumiwa pia kupimia bidhaa nyingine hasa nafaka kama vile maharage, mchele, na unga wa aina mbalimbali, hali inayozua hofu kuhusu usafi wa bidhaa ya sukari inayopimwa na athari zinazoweza kujitokeza kutokana na bidhaa hizo kuacha unyevunyevu na kuganda kwenye sahani ya kipimio. Aidha, sukari hiyo huuzwa kwenye vifungashio visivyo salama, na mara nyingi mizani imekuwa haina majibu ya uhakika wa vipimo sahihi kwa wateja. #uchumi #samiasuluhuhassan #ikulumawasiliano #mwanza #morogoro #harmonize #zuchu #kanda #kilombero_sugar #JembefmTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.