ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, August 4, 2024

WAZIRI MKENDA AZINDUA BODI YA USHAURI CHUO CHA ADEM BAGAMOYO

NA VICTOR MASANGU/BAGAMOYO

SAUTI NA ALBERT GSENGO

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Pro Adolfu Mkenda amezindua Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu - Adem ambapo ameitaka Bodi hiyo kuhakikisha inafanya Tafiti na kusimamia Kwa weledi Mkubwa Ili kuweza kuisaidia Serikali Kupitia Wizara ya Elimu

Akizungumza Wakati wa hafla hiyo fupi ya uzinduzi wa Bodi hiyo amewahimiza kufanya Tafiti mbalimbali pamoja na kuwasaidia Walimu wanaofundiasha hasa katika kukidhi haja ya mitaala mpya ya Elimu ambayo imeanza kutolewa mashuleni.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.