ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, December 1, 2023

VIDEO: TRA PWANI YAWAKOMBOA WAKINAMAMA WAJAWAZITO YATOA VIFAA ZAHANATI YA MISUGUSUGU

 VICTOR MASANGU/PWANI

Wananchi wa kata ya Misusugu wilayani Kibaha, mkoani Pwani, hususan wajawazito wanatarajiwa kuondokana na changamoto ya kutembea umbel i mrefu wa zaidi ya kilometa 12 kwenda kutafuta huduma ya Afya ya mama na mtoto baada ya mradi wa ujenzi wa jengo la huduma hiyo kuanza utekelezaji wake kwa nguvu za wananchi. Hayo yamebaishwa na Afisa Maendeleo ya jamii wa kata hiyo, wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa msaada wa vifaa mbalimbali vya ujenzi kwa ajili ya mradi wa jengo jipya la mama na mtoto linalojengwa kwa lengo la kuweza kuwasaidia wakinamama wakati wa kujifungua.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.