ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, November 15, 2023

"KILA MTU ABAKI NA CHAMA CHAKE LAKINI KWENYE MAENDELEO TUUNGANE" NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO

 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Novemba 15, 2023 wakati akiwasha umeme katika Vijiji vya Pachoto B na Naliendele amewataka viongozi mbalimbali kuungana katika kuwaletea watanzania maendeleo, na kuongeza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan  anataka watanzania kuungana na kuwa kitu kimoja.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.