ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, July 27, 2023

MCHUNGAJI MUGOGO HUYU HAPA JIJINI MWANZA

 NA ALBERT G.SENGO/MWANZA.

Ile Event yetu pendwa kabisa ya Mwanza Couple’s Night Gala, imekaribia kabisa ni tarehe 12/08/2023 pale Gold Crest Hotel Mwanza. Hii ni bonge moja ya Event hutajuta kuhusika bali utafurahi sana

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.