NA ALBERT G. SENGO
Rais wa Yanga Eng. Hersi Said amesema kuwa atamkabidhi medali yake ya nafasi ya pili Kombe la Shirikisho barani Afrika, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, mara baada ya kutunukiwa jana usiku. #samiasuluhuhassan #yanga #yanganasimbaTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.