Ikiwa ni siku moja kabla ya tukio la kusanyiko kubwa la Jihad Badri Day, lililopagwa kufanyika katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, Sheikh wa mkoa huo Al-Haji Hassan Kabeke hii leo kazungumza na Jembe Fm kutoa maelezo na utaratibu jinsi utakavyokuwa kwa tukio husika.
#mwanza #ShkHassanKabeke #Bakwata #JembeUpdates #ShkHassanKabeke #Bakwata #JembeTv #MwanzaTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.