Mzee KHALFAN NGASSA Baba Mzazi Wa Mchezaji @mrisho_khalfan_ngassa Akizungumza na @mc_suzuki
Amezungumza katika Maisha yake ya soka Ni Mchezo upi kati ya Simba na Yanga Ambao anaukumbuka zaidi akiongeza kuwa Mchezaji SAID SUED 'SCUD' ni Moja ya Mchezaji ambaye hatokuja kumsahau kwenye Derby. . . . Wewe ni Derby Gani unaikumbuka ZaidiTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.