ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, February 14, 2023

RAIS SAMIA AHAIDI KILA GOLI SIMBA, YANGA KIMATAIFA MILIONI 5


 RAIS Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa Sh milioni 5 kwa kila goli litakalofungwa na wachazaji wa timu za Simba na Yanga wakati wa michuano inayoendelea ya Ligi ya Mabingwa Afrika.


Simba itakutana na vinara wa Kundi C, Raja Casablanca katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, Jumamosi  Februari 18, 2023 wakati Yanga itaburuzana na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.


Yanga na Simba zote zilianza vibaya katika michuano hiyo ya Shirikisho barani Afrika.


#jembeupdates 

#SportsRipoti

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.