NA ALBERT G.SENGO/MWANZA
Historia yako na mumeo au mkeo jeh unaweza kumwadithia mwanao, kumkumbushia au unaifisha kwasababu inaukakasi ndani yake? Kila kinachofanyika ndani ya familia yako kina chukuliwa na watoto wako kama ndiyo maisha ambayo kwayo wao wanapaswa kuishi pindi wanapotengeneza familia zao. Japo kwa ufupi kile kilichofanyika ndani ya kipindi cha Sega La Leo ukiwa na mtangazaji wako Florencia Peter.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.