NJOMBE
Kesi namba 2,2022 ya madai ya fidia ya shilingi mil 100 inayolikabili kanisa la Kiinjili la Kirutheli Tanzania KKKT Dayosisi ya Kusini imetajwa kwa mara ya kwanza katika Makahakama ya mkoa wa Njombe na kisha kupangwa tarehe 3 mwezi February kuanza kusikiliza mashahidi wa kesi hiyo.Kesi hiyo ya madai ambayo imekuja baada ya mlalamikaji kushinda trafic kesi no 6 ,2021 iliyotokea eneo la Kibena katika mlima Ichunilo septemba 25,2020 iliyohusisha gari aina ya Hiace yenye nambari za usajiri T298-DNE na gari aina ya Mercedez Benz Truck yenye nambari za usajiri T210-AHU mali ya kanisa ambayo ilipelekea kifo cha Kaselida Karo Mlowe(29) ambaye aliacha watoto wadogo watatu.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.