• HOME

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, January 15, 2023

MUME MBARONI TUHUMA ZA KUMUUA MKEWE

Sunday, January 15, 2023  HABARI  No comments


Na Mapuli Misalaba, Shinyanga

Mwanaume mmoja mkazi wa mtaa wa Kalonga kata ya Ngokolo katika Manispaa ya Shinyanga anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya Mke wake Joyce Masanja kwa kumchoma kisu.


Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumamosi Januari 14,2023 ambapo mwili wa mwanamke huyo umekutwa ukiwa umetelekezwa jirani na msikiti uliopo Mtaa wa Kalonga kata ya Ngokolo.

Misalaba Blog imefika katika eneo la tukio na kuzungumza na wakazi wa mtaa wa Kalonga jina maarufu Mshikamano ambao wameeleza kuwa tukio hilo limetokea majira ya saa sita usiku ambapo baadhi yao wamesikia sauti ya marehemu huyo akikimbizwa na watu wawili huku akipiga kelele.

Majirani wamesema baada ya kusikia kelele hizo kwa muda mfupi umeme ulikatika na kwamba hawakusikia tena kelele ndiyo asubuhi walimkuta Joyce Masanja amefariki dunia pembezoni mwa barabara jirani na msikiti.
Joyce Masanja enzi  za uhai wake.

Baadhi ya wananchi waliofika kwenye tukio hilo wameeleza kuwa wamekuta mwanamke huyo amefariki Dunia huku akiwa amechomwa kisu sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwepo sehemu ya shingo, kwenye ubavu pamoja na sehemu ya mapaja yake.

Wameeleza kuwa wamesikitishwa na tukio hilo ambapo wameilalamikia serikali ya mtaa huo kuwa wanatoa mchango wa fedha kila mwezi kwa ajili ya ulinzi shirikishi na kwamba ulinzi huo haufanyiki ipasavyo huku wakiliomba jeshi la polisi kufanya uchunguzi ili kubaini chanzo cha mauaji ya Mwanamke huyo Joyce Masanja.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Mtaa wa Kalonga Bwana Victor Ochieng ameeleza kuwa amepokea taarifa za tukio hilo majira ya saa moja asubuhi ambapo alichukua hatua za kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi,ambapo pia ametoa rai kwa jamii kuepuka tabia ya kujichukulia sheria mkononi


Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga Kamishina Msaidizi wa polisi Janeth Magomi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo ameeleza taarifa za awali zinaonesha chanzo ni wivu wa kimapenzi baina ya Mume na Mke,na kwamba jeshi hilo linamshikilia mwanaume huyo kwa ajili ya uchunguzi 

Tupe maoni yako

Albert G.Sengo
Tweet
Newer Post Older Post

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

SIKILIZA JEMBE FM LIVE

CRDB

CRDB

MATANGAZO

AZAM TV LIVE

AZAM TV LIVE

TANZANIA MISS WORLD

TANZANIA MISS WORLD

SIKILIZA LIVE JEMBE FM

http://tun.in/sfi0U

Become a Fan

Followers

HABARI MPYA

HABARI MPYA

KARIBU MWANZA

KARIBU MWANZA

Popular Posts

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013-2014 HAYA HAPA.
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2014-2015
  • MAPINDUZI MAKUBWA UCHAGUZI WA MZFA YAFANYIKA MWENYEKITI APETA, KADUTU AUKWAA UWAKILISHI VILABU KWA ASILIMIA 100
  • MAUAJI YA KUTISHA MKOANI MWANZA, BABA, MAMA NA MTOTO WAUAWAWA KINYAMA BILA HURUMA.
  • ILIVYOKUWA HARUSI YA H.BABA NA FLORA MVUNGI
  • WATU ZAIDI YA 35 WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI ILIYOTOKEA LEO MKOANI MARA
  • DRINKINGS SUPPLY FOR CEREMONIES AND SPECIAL FUNCTION
  • NGOMA MPYA YA VANESSA MDEE ft BARNABA - SIRI
  • NGOMA MPYA YA NEY LEE ft NEY WA MITEGO - USINIKATAE.
  • MBUNGE WA ILEMELA ABAINISHA UBABAISHAJI MKUBWA ULIOFANYWA UJENZI WA BARABARA MPYA YA BUZURUGA, PASIANSI, SANGA, KILOLELI.

Latest Tweets

 

HASHEEM THABEET

HASHEEM THABEET

BABA WA TAIFA JK.

BABA WA TAIFA JK.

VIEWERS

MITANDAO MINGINE

  • MICHUZI BLOG
    TUTABORESHA BAJETI YA ELIMU – WAZIRI MKUU - ▪️Asema Serikali itaimarisha vitengo vya tathmini na ufuatiliaji kila wizara Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuboresha baje...
    2 hours ago
  • JIACHIE
    NGORONGORO NI NYUMBANI KWA KILA BINADAMU - KAMISHNA BADRU. - Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro Bw. Abdul-Razaq Badru leo tarehe 9 Aprili, 2026 amepuliza rasmi Kipenga cha shindano la...
    2 hours ago
  • BBCSwahili.com | Habari
    Jinsi Pakistan ilivyosaidia kusitisha vita kati ya Marekani na Iran - Ila Pakistan ikiwa mwenyeji wa mazungumzo hayo, swali la kujiuliza ni iwapo matakwa muhimu za kila pande zitakubalika.
    2 hours ago
  • MTAA KWA MTAA BLOG
    Miracle Concierge Kufungua Uhuru Terminal katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Kilimanjaro - KAMPUNI ya Miracle Concierge imetangaza kufungua kituo kipya cha abiria chenye huduma maalum kiitwacho Uhuru Terminal & Lounge katika uwanja wa Kimat...
    2 hours ago
  • LIBENEKE LA KASKAZINI
    WATENGENEZA MAUDHUI MTANDAONI WAPATIWA MAFUNZO ARUSHA KUIMARISHA UWEZO WAO - baadhi ya watengeneza maudhui (content creators) mtandaoni wakiendelea kufatilia mada mbalimbali katika mafunzo ya awamu ya kwanza kwa ajili yao yana...
    1 day ago
  • HABARI NA MATUKIO
    Serikali Yaongeza Muda wa Tume ya Uchunguzi - *Na Mwandishi Wetu* *DODOMA, Aprili 4, 2026 — Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza kuongeza muda wa kukamilisha kazi kwa Tume ya Kuchun...
    1 day ago
  • BUKOBAWADAU
    WAZIRI WA ARDHI AWAASA WAHITIMU ARIMO KUJIEPUSHA NA MATENDO MAOVU - Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa chuo cha Ardhi Mor...
    3 months ago
  • MATUKIO UK
    KATUNI YA LEO -
    7 years ago
  • ChingaOne
    Pata taarifa ya sakata la Madawa ya kulevya linavyoendelea - MAKONDA AKAMIWA: MBUNGE CCM ATAKA ACHUNGUZWE MALI ZAKE, WEMA AKWAMA VITA iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ya kupambana na bias...
    9 years ago
  • MSUMBANEWS.COM
    -
  • BUKOBA SPORTS
    -

CATEGORIES

  • +HABARI (2)
  • 88.1FM Mwanza. (23)
  • 93.7 JEMBE FM (9)
  • AFY (1)
  • AFYA (540)
  • AFYA. (5)
  • aHABARI (1)
  • AIR TANZANIA (1)
  • AJALI (50)
  • ARDHI (1)
  • ARUSHA (13)
  • BANGO (423)
  • BANGO. (1)
  • BANGU (1)
  • BIASHARA (442)
  • BIASHARA. (2)
  • BUNGENI (2)
  • bur (1)
  • buriani (22)
  • buriani michael (5)
  • BURUDA (1)
  • BURUDANI (1160)
  • BURUDANI. (301)
  • BURUDANI. JEMBE GOSPEL (1)
  • BURUDDANI (2)
  • BWISYA (1)
  • CCM (46)
  • CHAKULA (17)
  • CHANGA LA MACHO (37)
  • CHEREKO (118)
  • chunguza mjomba utabaini (2)
  • chunguza mjomba utabaini 007 (21)
  • chunguza mjomba utabaini. (385)
  • CLOUDS FM (4)
  • DAR ES SALAAM (14)
  • DINI (1)
  • EDUCATION / ELIMU (8)
  • ELIM (1)
  • ELIMU (478)
  • ELIMU. (8)
  • ENZI ZA KALE (5)
  • FIESTA (70)
  • FYA (1)
  • GABARI (1)
  • GABARI. (1)
  • GOSPEL (4)
  • GOSPEL TANZANIA (5)
  • Gospel traxx na G.Sengo (57)
  • HABA (1)
  • HABAFRI (2)
  • habar (3)
  • HABARI (5994)
  • HABARI MWANZA (2)
  • HABARI. (257)
  • HABAROI (1)
  • HABATRI (1)
  • hali ya hewa (18)
  • HBARI (1)
  • HISTORIA (6)
  • HUZU (1)
  • huzuni (222)
  • IBADA (22)
  • IKULU (1)
  • INJILI (3)
  • JEMBE (4)
  • Jembe Gospel (34)
  • Jembe Gospel. (14)
  • JEMBEKA (8)
  • JINSIA (1)
  • KAZI DARASA (1)
  • KENYA (1)
  • KIFUATACHO (9)
  • KILIMO (100)
  • KILIMO. (6)
  • KISIWA CHA SAA NANE (1)
  • KUMBUKUMBU (26)
  • kutoka kushoto (1)
  • limu (1)
  • M (2)
  • MABARI (2)
  • MADINI (1)
  • MAGAZETI (2)
  • MAGUFULI (1)
  • MAHAKAMANI (29)
  • MAHUSIANO (22)
  • MAJI (1)
  • Mapishi (1)
  • MARA (1)
  • mawasi (1)
  • MAWASILANO (1)
  • MAWASILIA (1)
  • MAWASILIANO (247)
  • MAWASILIANO. (4)
  • MAZINGIRA (24)
  • MCHEZO (4)
  • MGOMO (2)
  • MI (1)
  • MICH (1)
  • miche (1)
  • MICHEO (3)
  • MICHEZO (1980)
  • MICHEZO. (32)
  • MICHOEZO (1)
  • MIFUGO (1)
  • MILA NA DESTURI (1)
  • miti (1)
  • MITINDO (94)
  • MKICHEZO (1)
  • MSAADA (18)
  • MSIBA (5)
  • MUSOMA (8)
  • MUSUKUMA (1)
  • MUZIKI (4)
  • MUZIKI WA DANSI (1)
  • MWANZA (158)
  • NANE NANE (1)
  • ndani ya 88.1FM Mwanza. (7)
  • NDOA (1)
  • NYERERE DAY (2)
  • POLISI (1)
  • REKODI (1)
  • SAFARI (16)
  • SANAA (22)
  • SENSA (2)
  • SENSA 2022 (10)
  • SHERIA (2)
  • SHINYANGA (8)
  • SIASA (295)
  • SIsa (1)
  • SOMA (11)
  • TAMISEMI (1)
  • TANGAZO (1)
  • TANZANIA (2)
  • TEKNOLOJIA (8)
  • TIGO F (1)
  • TUTAFIKA (76)
  • tz oyeee (72)
  • U (1)
  • UCHAGUZI (26)
  • UCHAGUZI 2015 (218)
  • UCHAGUZI 2024 (11)
  • UCHAGUZI CCM (12)
  • UCHAGUZI KENYA 2022 (24)
  • UCHAGUZI MKUU 2025 (44)
  • UCHAGUZI MKUU UGANDA 2026 (1)
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA (7)
  • UCHU (1)
  • UCHUMI (622)
  • UCHUMI. (11)
  • UJASILIAMALI (6)
  • UJENZI (5)
  • UKARA (1)
  • UKEREWE (1)
  • USAFIRI NA USAFIRISHAJI (1)
  • utabaini 007 (1)
  • UTALII (171)
  • UTALII. (5)
  • UTAMADUNI (1)
  • UVUVI (1)
  • UWEKEZAJI (8)
  • UZIMA (2)
  • WAISLAMU (1)
  • WIZARA YA UVUVI NA MIFUGO (1)
  • ZAMA (1)
  • ZAMA ZA SIKUKUU (222)
  • ZIMAMOTO (1)

Blog Archive

  • 04/05 - 04/12 (7)
  • 03/29 - 04/05 (8)
  • 03/22 - 03/29 (11)
  • 03/15 - 03/22 (9)
  • 03/08 - 03/15 (14)
  • 03/01 - 03/08 (11)
  • 02/22 - 03/01 (14)
  • 02/15 - 02/22 (15)
  • 02/08 - 02/15 (15)
  • 02/01 - 02/08 (1)
  • 01/25 - 02/01 (5)
  • 01/18 - 01/25 (7)
  • 01/11 - 01/18 (15)
  • 01/04 - 01/11 (3)
  • 12/28 - 01/04 (3)
  • 12/21 - 12/28 (4)
  • 12/14 - 12/21 (7)
  • 12/07 - 12/14 (12)
  • 11/30 - 12/07 (6)
  • 11/23 - 11/30 (5)
  • 11/16 - 11/23 (5)
  • 10/26 - 11/02 (1)
  • 10/19 - 10/26 (6)
  • 10/12 - 10/19 (16)
  • 10/05 - 10/12 (4)
  • 09/28 - 10/05 (4)
  • 09/21 - 09/28 (4)
  • 09/14 - 09/21 (21)
  • 09/07 - 09/14 (8)
  • 08/31 - 09/07 (6)
  • 08/24 - 08/31 (15)
  • 08/17 - 08/24 (6)
  • 08/10 - 08/17 (12)
  • 08/03 - 08/10 (11)
  • 07/27 - 08/03 (11)
  • 07/20 - 07/27 (15)
  • 07/13 - 07/20 (5)
  • 07/06 - 07/13 (1)
  • 06/29 - 07/06 (19)
  • 06/22 - 06/29 (19)
  • 06/15 - 06/22 (8)
  • 06/08 - 06/15 (11)
  • 06/01 - 06/08 (7)
  • 05/25 - 06/01 (7)
  • 05/18 - 05/25 (5)
  • 05/11 - 05/18 (18)
  • 05/04 - 05/11 (6)
  • 04/27 - 05/04 (14)
  • 04/20 - 04/27 (7)
  • 04/13 - 04/20 (13)
  • 04/06 - 04/13 (11)
  • 03/30 - 04/06 (6)
  • 03/23 - 03/30 (15)
  • 03/16 - 03/23 (12)
  • 03/09 - 03/16 (10)
  • 03/02 - 03/09 (14)
  • 02/23 - 03/02 (21)
  • 02/16 - 02/23 (10)
  • 02/09 - 02/16 (14)
  • 02/02 - 02/09 (6)
  • 01/26 - 02/02 (17)
  • 01/19 - 01/26 (10)
  • 01/12 - 01/19 (11)
  • 01/05 - 01/12 (9)
  • 12/29 - 01/05 (1)
  • 12/22 - 12/29 (3)
  • 12/15 - 12/22 (13)
  • 12/08 - 12/15 (8)
  • 12/01 - 12/08 (19)
  • 11/24 - 12/01 (16)
  • 11/17 - 11/24 (21)
  • 11/10 - 11/17 (12)
  • 11/03 - 11/10 (12)
  • 10/27 - 11/03 (11)
  • 10/20 - 10/27 (10)
  • 10/13 - 10/20 (17)
  • 10/06 - 10/13 (8)
  • 09/29 - 10/06 (10)
  • 09/22 - 09/29 (8)
  • 09/15 - 09/22 (11)
  • 09/08 - 09/15 (10)
  • 09/01 - 09/08 (9)
  • 08/25 - 09/01 (22)
  • 08/18 - 08/25 (10)
  • 08/11 - 08/18 (9)
  • 08/04 - 08/11 (8)
  • 07/28 - 08/04 (6)
  • 07/21 - 07/28 (7)
  • 07/14 - 07/21 (11)
  • 07/07 - 07/14 (8)
  • 06/30 - 07/07 (2)
  • 06/23 - 06/30 (13)
  • 06/16 - 06/23 (11)
  • 06/09 - 06/16 (10)
  • 06/02 - 06/09 (8)
  • 05/26 - 06/02 (14)
  • 05/19 - 05/26 (9)
  • 05/12 - 05/19 (12)
  • 05/05 - 05/12 (7)
  • 04/28 - 05/05 (16)
  • 04/21 - 04/28 (2)
  • 04/14 - 04/21 (6)
  • 04/07 - 04/14 (8)
  • 03/31 - 04/07 (8)
  • 03/24 - 03/31 (12)
  • 03/17 - 03/24 (9)
  • 03/10 - 03/17 (16)
  • 03/03 - 03/10 (9)
  • 02/25 - 03/03 (5)
  • 02/18 - 02/25 (12)
  • 02/11 - 02/18 (6)
  • 02/04 - 02/11 (4)
  • 01/28 - 02/04 (9)
  • 01/21 - 01/28 (12)
  • 01/14 - 01/21 (7)
  • 01/07 - 01/14 (7)
  • 12/31 - 01/07 (8)
  • 12/24 - 12/31 (1)
  • 12/17 - 12/24 (6)
  • 12/10 - 12/17 (9)
  • 12/03 - 12/10 (7)
  • 11/26 - 12/03 (14)
  • 11/19 - 11/26 (8)
  • 11/12 - 11/19 (15)
  • 11/05 - 11/12 (7)
  • 10/29 - 11/05 (10)
  • 10/22 - 10/29 (12)
  • 10/15 - 10/22 (3)
  • 10/08 - 10/15 (12)
  • 10/01 - 10/08 (3)
  • 09/24 - 10/01 (7)
  • 09/17 - 09/24 (6)
  • 09/10 - 09/17 (6)
  • 09/03 - 09/10 (6)
  • 08/27 - 09/03 (12)
  • 08/20 - 08/27 (6)
  • 08/13 - 08/20 (5)
  • 08/06 - 08/13 (6)
  • 07/30 - 08/06 (3)
  • 07/23 - 07/30 (11)
  • 07/16 - 07/23 (16)
  • 07/09 - 07/16 (12)
  • 07/02 - 07/09 (8)
  • 06/25 - 07/02 (3)
  • 06/18 - 06/25 (11)
  • 06/11 - 06/18 (16)
  • 06/04 - 06/11 (9)
  • 05/28 - 06/04 (7)
  • 05/21 - 05/28 (13)
  • 05/14 - 05/21 (19)
  • 05/07 - 05/14 (18)
  • 04/30 - 05/07 (20)
  • 04/23 - 04/30 (19)
  • 04/16 - 04/23 (10)
  • 04/09 - 04/16 (24)
  • 04/02 - 04/09 (27)
  • 03/26 - 04/02 (22)
  • 03/19 - 03/26 (27)
  • 03/12 - 03/19 (17)
  • 03/05 - 03/12 (20)
  • 02/26 - 03/05 (20)
  • 02/19 - 02/26 (24)
  • 02/12 - 02/19 (29)
  • 02/05 - 02/12 (21)
  • 01/29 - 02/05 (9)
  • 01/22 - 01/29 (18)
  • 01/15 - 01/22 (26)
  • 01/08 - 01/15 (14)
  • 01/01 - 01/08 (20)
  • 12/25 - 01/01 (7)
  • 12/18 - 12/25 (13)
  • 12/11 - 12/18 (9)
  • 12/04 - 12/11 (10)
  • 11/27 - 12/04 (26)
  • 11/20 - 11/27 (25)
  • 11/13 - 11/20 (8)
  • 11/06 - 11/13 (30)
  • 10/30 - 11/06 (31)
  • 10/23 - 10/30 (21)
  • 10/16 - 10/23 (12)
  • 10/09 - 10/16 (16)
  • 10/02 - 10/09 (18)
  • 09/25 - 10/02 (17)
  • 09/18 - 09/25 (16)
  • 09/11 - 09/18 (16)
  • 09/04 - 09/11 (15)
  • 08/28 - 09/04 (11)
  • 08/21 - 08/28 (12)
  • 08/14 - 08/21 (21)
  • 08/07 - 08/14 (17)
  • 07/31 - 08/07 (9)
  • 07/24 - 07/31 (7)
  • 07/17 - 07/24 (7)
  • 07/10 - 07/17 (13)
  • 07/03 - 07/10 (20)
  • 06/26 - 07/03 (14)
  • 06/19 - 06/26 (12)
  • 06/12 - 06/19 (13)
  • 06/05 - 06/12 (14)
  • 05/29 - 06/05 (15)
  • 05/22 - 05/29 (8)
  • 05/15 - 05/22 (9)
  • 05/08 - 05/15 (4)
  • 05/01 - 05/08 (10)
  • 04/24 - 05/01 (9)
  • 04/17 - 04/24 (7)
  • 04/10 - 04/17 (23)
  • 04/03 - 04/10 (19)
  • 03/27 - 04/03 (8)
  • 03/20 - 03/27 (26)
  • 03/13 - 03/20 (15)
  • 03/06 - 03/13 (22)
  • 02/20 - 02/27 (1)
  • 02/13 - 02/20 (1)
  • 02/06 - 02/13 (1)
  • 01/30 - 02/06 (3)
  • 01/23 - 01/30 (9)
  • 01/16 - 01/23 (9)
  • 01/09 - 01/16 (2)
  • 01/02 - 01/09 (9)
  • 12/26 - 01/02 (2)
  • 12/19 - 12/26 (5)
  • 12/12 - 12/19 (16)
  • 12/05 - 12/12 (22)
  • 11/28 - 12/05 (20)
  • 11/21 - 11/28 (23)
  • 11/14 - 11/21 (14)
  • 11/07 - 11/14 (1)
  • 10/31 - 11/07 (3)
  • 08/22 - 08/29 (1)
  • 08/15 - 08/22 (13)
  • 08/08 - 08/15 (17)
  • 08/01 - 08/08 (11)
  • 07/25 - 08/01 (1)
  • 07/18 - 07/25 (1)
  • 07/11 - 07/18 (1)
  • 11/08 - 11/15 (1)
  • 04/26 - 05/03 (1)
  • 03/29 - 04/05 (5)
  • 03/22 - 03/29 (9)
  • 03/15 - 03/22 (16)
  • 03/08 - 03/15 (10)
  • 03/01 - 03/08 (13)
  • 02/23 - 03/01 (12)
  • 02/16 - 02/23 (10)
  • 02/09 - 02/16 (12)
  • 02/02 - 02/09 (15)
  • 01/26 - 02/02 (8)
  • 01/19 - 01/26 (6)
  • 01/12 - 01/19 (9)
  • 01/05 - 01/12 (18)
  • 12/29 - 01/05 (20)
  • 12/22 - 12/29 (8)
  • 12/15 - 12/22 (5)
  • 12/08 - 12/15 (18)
  • 12/01 - 12/08 (21)
  • 11/24 - 12/01 (15)
  • 11/17 - 11/24 (20)
  • 11/10 - 11/17 (21)
  • 11/03 - 11/10 (32)
  • 10/27 - 11/03 (16)
  • 10/20 - 10/27 (31)
  • 10/13 - 10/20 (28)
  • 10/06 - 10/13 (16)
  • 09/29 - 10/06 (9)
  • 09/22 - 09/29 (12)
  • 09/15 - 09/22 (17)
  • 09/08 - 09/15 (17)
  • 09/01 - 09/08 (14)
  • 08/25 - 09/01 (6)
  • 08/18 - 08/25 (13)
  • 08/11 - 08/18 (18)
  • 08/04 - 08/11 (12)
  • 07/28 - 08/04 (17)
  • 07/21 - 07/28 (27)
  • 07/14 - 07/21 (18)
  • 07/07 - 07/14 (24)
  • 06/30 - 07/07 (19)
  • 06/23 - 06/30 (20)
  • 06/16 - 06/23 (20)
  • 06/09 - 06/16 (23)
  • 06/02 - 06/09 (12)
  • 05/26 - 06/02 (21)
  • 05/19 - 05/26 (16)
  • 05/12 - 05/19 (20)
  • 05/05 - 05/12 (20)
  • 04/28 - 05/05 (15)
  • 04/21 - 04/28 (11)
  • 04/14 - 04/21 (17)
  • 04/07 - 04/14 (20)
  • 03/31 - 04/07 (23)
  • 03/24 - 03/31 (22)
  • 03/17 - 03/24 (20)
  • 03/10 - 03/17 (19)
  • 03/03 - 03/10 (7)
  • 02/24 - 03/03 (10)
  • 02/17 - 02/24 (1)
  • 02/10 - 02/17 (3)
  • 12/16 - 12/23 (1)
  • 12/09 - 12/16 (5)
  • 12/02 - 12/09 (36)
  • 11/25 - 12/02 (36)
  • 11/18 - 11/25 (37)
  • 11/11 - 11/18 (26)
  • 11/04 - 11/11 (26)
  • 10/28 - 11/04 (29)
  • 10/21 - 10/28 (26)
  • 10/14 - 10/21 (26)
  • 10/07 - 10/14 (40)
  • 09/30 - 10/07 (37)
  • 09/23 - 09/30 (19)
  • 09/16 - 09/23 (27)
  • 09/09 - 09/16 (33)
  • 09/02 - 09/09 (31)
  • 08/26 - 09/02 (42)
  • 08/19 - 08/26 (33)
  • 08/12 - 08/19 (34)
  • 08/05 - 08/12 (34)
  • 07/29 - 08/05 (35)
  • 07/22 - 07/29 (29)
  • 07/15 - 07/22 (35)
  • 07/08 - 07/15 (47)
  • 07/01 - 07/08 (42)
  • 06/24 - 07/01 (43)
  • 06/17 - 06/24 (39)
  • 06/10 - 06/17 (42)
  • 06/03 - 06/10 (39)
  • 05/27 - 06/03 (34)
  • 05/20 - 05/27 (34)
  • 05/13 - 05/20 (40)
  • 05/06 - 05/13 (24)
  • 04/29 - 05/06 (33)
  • 04/22 - 04/29 (34)
  • 04/15 - 04/22 (32)
  • 04/08 - 04/15 (24)
  • 04/01 - 04/08 (29)
  • 03/25 - 04/01 (21)
  • 03/18 - 03/25 (39)
  • 03/11 - 03/18 (40)
  • 03/04 - 03/11 (29)
  • 02/25 - 03/04 (40)
  • 02/18 - 02/25 (35)
  • 02/11 - 02/18 (34)
  • 02/04 - 02/11 (33)
  • 01/28 - 02/04 (45)
  • 01/21 - 01/28 (39)
  • 01/14 - 01/21 (25)
  • 01/07 - 01/14 (26)
  • 12/31 - 01/07 (34)
  • 12/24 - 12/31 (16)
  • 12/17 - 12/24 (28)
  • 12/10 - 12/17 (32)
  • 12/03 - 12/10 (37)
  • 11/26 - 12/03 (31)
  • 11/19 - 11/26 (28)
  • 11/12 - 11/19 (32)
  • 11/05 - 11/12 (30)
  • 10/29 - 11/05 (36)
  • 10/22 - 10/29 (24)
  • 10/15 - 10/22 (47)
  • 10/08 - 10/15 (42)
  • 10/01 - 10/08 (32)
  • 09/24 - 10/01 (36)
  • 09/17 - 09/24 (32)
  • 09/10 - 09/17 (40)
  • 09/03 - 09/10 (26)
  • 08/27 - 09/03 (39)
  • 08/20 - 08/27 (35)
  • 08/13 - 08/20 (39)
  • 08/06 - 08/13 (24)
  • 07/30 - 08/06 (24)
  • 07/23 - 07/30 (45)
  • 07/16 - 07/23 (60)
  • 07/09 - 07/16 (50)
  • 07/02 - 07/09 (32)
  • 06/25 - 07/02 (39)
  • 06/18 - 06/25 (49)
  • 06/11 - 06/18 (47)
  • 06/04 - 06/11 (48)
  • 05/28 - 06/04 (34)
  • 05/21 - 05/28 (37)
  • 05/14 - 05/21 (36)
  • 05/07 - 05/14 (30)
  • 04/30 - 05/07 (43)
  • 04/23 - 04/30 (39)
  • 04/16 - 04/23 (30)
  • 04/09 - 04/16 (38)
  • 04/02 - 04/09 (41)
  • 03/26 - 04/02 (42)
  • 03/19 - 03/26 (37)
  • 03/12 - 03/19 (40)
  • 03/05 - 03/12 (48)
  • 02/26 - 03/05 (50)
  • 02/19 - 02/26 (43)
  • 02/12 - 02/19 (33)
  • 02/05 - 02/12 (30)
  • 01/29 - 02/05 (38)
  • 01/22 - 01/29 (41)
  • 01/15 - 01/22 (46)
  • 01/08 - 01/15 (47)
  • 01/01 - 01/08 (37)
  • 12/25 - 01/01 (40)
  • 12/18 - 12/25 (42)
  • 12/11 - 12/18 (38)
  • 12/04 - 12/11 (39)
  • 11/27 - 12/04 (36)
  • 11/20 - 11/27 (44)
  • 11/13 - 11/20 (42)
  • 11/06 - 11/13 (46)
  • 10/30 - 11/06 (34)
  • 10/23 - 10/30 (40)
  • 10/16 - 10/23 (51)
  • 10/09 - 10/16 (39)
  • 10/02 - 10/09 (55)
  • 09/25 - 10/02 (52)
  • 09/18 - 09/25 (36)
  • 09/11 - 09/18 (42)
  • 09/04 - 09/11 (54)
  • 08/28 - 09/04 (35)
  • 08/21 - 08/28 (34)
  • 08/14 - 08/21 (33)
  • 08/07 - 08/14 (32)
  • 07/31 - 08/07 (47)
  • 07/24 - 07/31 (46)
  • 07/17 - 07/24 (41)
  • 07/10 - 07/17 (37)
  • 07/03 - 07/10 (46)
  • 06/26 - 07/03 (37)
  • 06/19 - 06/26 (35)
  • 06/12 - 06/19 (27)
  • 06/05 - 06/12 (24)
  • 05/29 - 06/05 (30)
  • 05/22 - 05/29 (21)
  • 05/15 - 05/22 (39)
  • 05/08 - 05/15 (45)
  • 05/01 - 05/08 (33)
  • 04/24 - 05/01 (44)
  • 04/17 - 04/24 (51)
  • 04/10 - 04/17 (46)
  • 04/03 - 04/10 (32)
  • 03/27 - 04/03 (39)
  • 03/20 - 03/27 (51)
  • 03/13 - 03/20 (48)
  • 03/06 - 03/13 (39)
  • 02/28 - 03/06 (50)
  • 02/21 - 02/28 (29)
  • 02/14 - 02/21 (46)
  • 02/07 - 02/14 (47)
  • 01/31 - 02/07 (41)
  • 01/24 - 01/31 (43)
  • 01/17 - 01/24 (38)
  • 01/10 - 01/17 (40)
  • 01/03 - 01/10 (35)
  • 12/27 - 01/03 (38)
  • 12/20 - 12/27 (41)
  • 12/13 - 12/20 (30)
  • 12/06 - 12/13 (39)
  • 11/29 - 12/06 (28)
  • 11/22 - 11/29 (35)
  • 11/15 - 11/22 (33)
  • 11/08 - 11/15 (39)
  • 11/01 - 11/08 (34)
  • 10/25 - 11/01 (40)
  • 10/18 - 10/25 (32)
  • 10/11 - 10/18 (45)
  • 10/04 - 10/11 (48)
  • 09/27 - 10/04 (45)
  • 09/20 - 09/27 (49)
  • 09/13 - 09/20 (39)
  • 09/06 - 09/13 (37)
  • 08/30 - 09/06 (24)
  • 08/23 - 08/30 (43)
  • 08/16 - 08/23 (47)
  • 08/09 - 08/16 (28)
  • 08/02 - 08/09 (37)
  • 07/26 - 08/02 (45)
  • 07/19 - 07/26 (18)
  • 07/12 - 07/19 (48)
  • 07/05 - 07/12 (39)
  • 06/28 - 07/05 (19)
  • 06/21 - 06/28 (34)
  • 06/14 - 06/21 (37)
  • 06/07 - 06/14 (37)
  • 05/31 - 06/07 (38)
  • 05/24 - 05/31 (30)
  • 05/17 - 05/24 (26)
  • 05/10 - 05/17 (23)
  • 05/03 - 05/10 (27)
  • 04/26 - 05/03 (29)
  • 04/19 - 04/26 (21)
  • 04/12 - 04/19 (23)
  • 04/05 - 04/12 (25)
  • 03/29 - 04/05 (23)
  • 03/22 - 03/29 (39)
  • 03/15 - 03/22 (22)
  • 03/08 - 03/15 (34)
  • 03/01 - 03/08 (28)
  • 02/22 - 03/01 (26)
  • 02/15 - 02/22 (24)
  • 02/08 - 02/15 (26)
  • 02/01 - 02/08 (20)
  • 01/25 - 02/01 (23)
  • 01/18 - 01/25 (25)
  • 01/11 - 01/18 (25)
  • 01/04 - 01/11 (21)
  • 12/28 - 01/04 (24)
  • 12/21 - 12/28 (19)
  • 12/14 - 12/21 (31)
  • 12/07 - 12/14 (26)
  • 11/30 - 12/07 (21)
  • 11/23 - 11/30 (23)
  • 11/16 - 11/23 (20)
  • 11/09 - 11/16 (23)
  • 11/02 - 11/09 (27)
  • 10/26 - 11/02 (22)
  • 10/19 - 10/26 (24)
  • 10/12 - 10/19 (20)
  • 10/05 - 10/12 (32)
  • 09/28 - 10/05 (22)
  • 09/21 - 09/28 (26)
  • 09/14 - 09/21 (24)
  • 09/07 - 09/14 (31)
  • 08/31 - 09/07 (22)
  • 08/24 - 08/31 (21)
  • 08/17 - 08/24 (27)
  • 08/10 - 08/17 (22)
  • 08/03 - 08/10 (27)
  • 07/27 - 08/03 (21)
  • 07/20 - 07/27 (24)
  • 07/13 - 07/20 (25)
  • 07/06 - 07/13 (30)
  • 06/29 - 07/06 (27)
  • 06/22 - 06/29 (27)
  • 06/15 - 06/22 (22)
  • 06/08 - 06/15 (16)
  • 06/01 - 06/08 (28)
  • 05/25 - 06/01 (25)
  • 05/18 - 05/25 (26)
  • 05/11 - 05/18 (28)
  • 05/04 - 05/11 (24)
  • 04/27 - 05/04 (23)
  • 04/20 - 04/27 (18)
  • 04/13 - 04/20 (21)
  • 04/06 - 04/13 (22)
  • 03/30 - 04/06 (31)
  • 03/23 - 03/30 (25)
  • 03/16 - 03/23 (30)
  • 03/09 - 03/16 (19)
  • 03/02 - 03/09 (24)
  • 02/23 - 03/02 (15)
  • 02/16 - 02/23 (20)
  • 02/09 - 02/16 (26)
  • 02/02 - 02/09 (23)
  • 01/26 - 02/02 (35)
  • 01/19 - 01/26 (20)
  • 01/12 - 01/19 (28)
  • 01/05 - 01/12 (25)
  • 12/29 - 01/05 (26)
  • 12/22 - 12/29 (23)
  • 12/15 - 12/22 (29)
  • 12/08 - 12/15 (21)
  • 12/01 - 12/08 (20)
  • 11/24 - 12/01 (25)
  • 11/17 - 11/24 (27)
  • 11/10 - 11/17 (21)
  • 11/03 - 11/10 (32)
  • 10/27 - 11/03 (30)
  • 10/20 - 10/27 (22)
  • 10/13 - 10/20 (24)
  • 10/06 - 10/13 (19)
  • 09/29 - 10/06 (21)
  • 09/22 - 09/29 (23)
  • 09/15 - 09/22 (20)
  • 09/08 - 09/15 (26)
  • 09/01 - 09/08 (27)
  • 08/25 - 09/01 (24)
  • 08/18 - 08/25 (24)
  • 08/11 - 08/18 (19)
  • 08/04 - 08/11 (21)
  • 07/28 - 08/04 (23)
  • 07/21 - 07/28 (23)
  • 07/14 - 07/21 (22)
  • 07/07 - 07/14 (24)
  • 06/30 - 07/07 (28)
  • 06/23 - 06/30 (29)
  • 06/16 - 06/23 (28)
  • 06/09 - 06/16 (30)
  • 06/02 - 06/09 (27)
  • 05/26 - 06/02 (26)
  • 05/19 - 05/26 (14)
  • 05/12 - 05/19 (25)
  • 05/05 - 05/12 (26)
  • 04/28 - 05/05 (27)
  • 04/21 - 04/28 (17)
  • 04/14 - 04/21 (16)
  • 04/07 - 04/14 (22)
  • 03/31 - 04/07 (12)
  • 03/24 - 03/31 (23)
  • 03/17 - 03/24 (24)
  • 03/10 - 03/17 (21)
  • 03/03 - 03/10 (19)
  • 02/24 - 03/03 (24)
  • 02/17 - 02/24 (22)
  • 02/10 - 02/17 (20)
  • 02/03 - 02/10 (21)
  • 01/27 - 02/03 (26)
  • 01/20 - 01/27 (24)
  • 01/13 - 01/20 (27)
  • 01/06 - 01/13 (24)
  • 12/30 - 01/06 (22)
  • 12/23 - 12/30 (31)
  • 12/16 - 12/23 (9)
  • 12/09 - 12/16 (29)
  • 12/02 - 12/09 (24)
  • 11/25 - 12/02 (28)
  • 11/18 - 11/25 (19)
  • 11/11 - 11/18 (26)
  • 11/04 - 11/11 (32)
  • 10/28 - 11/04 (22)
  • 10/21 - 10/28 (25)
  • 10/14 - 10/21 (22)
  • 10/07 - 10/14 (28)
  • 09/30 - 10/07 (31)
  • 09/23 - 09/30 (22)
  • 09/16 - 09/23 (20)
  • 09/09 - 09/16 (27)
  • 09/02 - 09/09 (18)
  • 08/26 - 09/02 (19)
  • 08/19 - 08/26 (31)
  • 08/12 - 08/19 (27)
  • 08/05 - 08/12 (28)
  • 07/29 - 08/05 (28)
  • 07/22 - 07/29 (29)
  • 07/15 - 07/22 (35)
  • 07/08 - 07/15 (30)
  • 07/01 - 07/08 (42)
  • 06/24 - 07/01 (29)
  • 06/17 - 06/24 (35)
  • 06/10 - 06/17 (30)
  • 06/03 - 06/10 (21)
  • 05/27 - 06/03 (25)
  • 05/20 - 05/27 (21)
  • 05/13 - 05/20 (19)
  • 05/06 - 05/13 (22)
  • 04/29 - 05/06 (23)
  • 04/22 - 04/29 (24)
  • 04/15 - 04/22 (26)
  • 04/08 - 04/15 (22)
  • 04/01 - 04/08 (20)
  • 03/25 - 04/01 (25)
  • 03/18 - 03/25 (16)
  • 03/11 - 03/18 (19)
  • 03/04 - 03/11 (17)
  • 02/26 - 03/04 (13)
  • 02/19 - 02/26 (18)
  • 02/12 - 02/19 (17)
  • 02/05 - 02/12 (11)
  • 01/29 - 02/05 (18)
  • 01/22 - 01/29 (11)
  • 01/15 - 01/22 (17)
  • 01/08 - 01/15 (20)
  • 01/01 - 01/08 (17)
  • 12/25 - 01/01 (14)
  • 12/18 - 12/25 (15)
  • 12/11 - 12/18 (12)
  • 12/04 - 12/11 (14)
  • 11/27 - 12/04 (21)
  • 11/20 - 11/27 (25)
  • 11/13 - 11/20 (21)
  • 11/06 - 11/13 (14)
  • 10/30 - 11/06 (17)
  • 10/23 - 10/30 (18)
  • 10/16 - 10/23 (17)
  • 10/09 - 10/16 (18)
  • 10/02 - 10/09 (8)
  • 09/25 - 10/02 (13)
  • 09/18 - 09/25 (10)
  • 09/11 - 09/18 (13)
  • 09/04 - 09/11 (14)
  • 08/28 - 09/04 (11)
  • 08/21 - 08/28 (17)
  • 08/14 - 08/21 (9)
  • 08/07 - 08/14 (19)
  • 07/31 - 08/07 (14)
  • 07/24 - 07/31 (17)
  • 07/17 - 07/24 (12)
  • 07/10 - 07/17 (23)
  • 07/03 - 07/10 (14)
  • 06/26 - 07/03 (16)
  • 06/19 - 06/26 (15)
  • 06/12 - 06/19 (19)
  • 06/05 - 06/12 (16)
  • 05/29 - 06/05 (20)
  • 05/22 - 05/29 (20)
  • 05/15 - 05/22 (20)
  • 05/08 - 05/15 (17)
  • 05/01 - 05/08 (25)
  • 04/24 - 05/01 (15)
  • 04/17 - 04/24 (13)
  • 04/10 - 04/17 (17)
  • 04/03 - 04/10 (15)
  • 03/27 - 04/03 (14)
  • 03/20 - 03/27 (17)
  • 03/13 - 03/20 (23)
  • 03/06 - 03/13 (14)
  • 02/27 - 03/06 (15)
  • 02/20 - 02/27 (17)
  • 02/13 - 02/20 (14)
  • 02/06 - 02/13 (19)
  • 01/30 - 02/06 (17)
  • 01/23 - 01/30 (17)
  • 01/16 - 01/23 (14)
  • 01/09 - 01/16 (12)
  • 01/02 - 01/09 (13)
  • 12/26 - 01/02 (13)
  • 12/19 - 12/26 (12)
  • 12/12 - 12/19 (16)
  • 12/05 - 12/12 (15)
  • 11/28 - 12/05 (17)
  • 11/21 - 11/28 (13)
  • 11/14 - 11/21 (15)
  • 11/07 - 11/14 (13)
  • 10/31 - 11/07 (7)
  • 10/24 - 10/31 (12)
  • 10/17 - 10/24 (4)
  • 10/10 - 10/17 (6)
  • 10/03 - 10/10 (14)
  • 09/26 - 10/03 (10)
  • 09/19 - 09/26 (6)
  • 09/12 - 09/19 (8)
  • 09/05 - 09/12 (13)
  • 08/29 - 09/05 (14)
  • 08/22 - 08/29 (13)
  • 08/15 - 08/22 (12)
  • 08/08 - 08/15 (7)
  • 08/01 - 08/08 (13)
  • 07/25 - 08/01 (5)
  • 07/18 - 07/25 (8)
  • 07/11 - 07/18 (10)
  • 07/04 - 07/11 (10)
  • 06/27 - 07/04 (16)
  • 06/20 - 06/27 (12)
  • 06/13 - 06/20 (10)
  • 06/06 - 06/13 (7)
  • 05/30 - 06/06 (12)
  • 05/23 - 05/30 (11)
  • 05/16 - 05/23 (17)
  • 05/09 - 05/16 (15)
  • 05/02 - 05/09 (13)
  • 04/25 - 05/02 (11)
  • 04/18 - 04/25 (11)
  • 04/11 - 04/18 (6)
  • 04/04 - 04/11 (5)
  • 03/28 - 04/04 (9)
  • 03/21 - 03/28 (6)
  • 03/14 - 03/21 (4)
  • 03/07 - 03/14 (5)
  • 02/28 - 03/07 (5)
  • 02/21 - 02/28 (4)
  • 02/14 - 02/21 (3)
  • 02/07 - 02/14 (4)
  • 01/31 - 02/07 (1)
  • 01/24 - 01/31 (4)
  • 01/17 - 01/24 (4)
  • 01/10 - 01/17 (3)
  • 01/03 - 01/10 (5)
  • 12/27 - 01/03 (5)
  • 12/20 - 12/27 (7)
  • 12/13 - 12/20 (4)
  • 12/06 - 12/13 (5)
  • 11/29 - 12/06 (3)
  • 11/22 - 11/29 (6)
  • 11/15 - 11/22 (3)
  • 11/08 - 11/15 (2)
  • 11/01 - 11/08 (1)
  • 10/25 - 11/01 (5)
  • 10/18 - 10/25 (11)
  • 10/11 - 10/18 (1)
  • 10/04 - 10/11 (3)
  • 09/27 - 10/04 (7)
  • 09/20 - 09/27 (10)
  • 09/13 - 09/20 (11)
  • 09/06 - 09/13 (15)
  • 08/30 - 09/06 (17)
  • 08/23 - 08/30 (5)
  • 08/09 - 08/16 (10)
  • 08/02 - 08/09 (7)
  • 07/26 - 08/02 (25)
  • 07/19 - 07/26 (6)
  • 07/12 - 07/19 (1)
  • 07/05 - 07/12 (1)
  • 06/28 - 07/05 (2)
  • 06/21 - 06/28 (5)
  • 06/07 - 06/14 (4)

DIRECTORY AD

 
Copyright © g sengo