Kuelekea mchezo wa Yanga ya Tanzania dhidi ya Club Africain ya Tunisia, Hatua ya mtoano Shirikisho utakaochezwa siku ya Jumatano ya tarehe 02.November.2022 katika dimba la Mkapa jijini Dar es salaam tayari viingilio kwa mchezo huo vimeshatajwa.
VIINGILIOYanga wasema Watanzania wajiandae kutetema.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.