ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, October 27, 2022

MSIKILIZE SHABIKI HUYU

 

 

NA ALBERT G. SENGO

TAREHE 25 October 2021 katu haitoweza kutoka vichwani mwa wapenzi wa burudani jijini Mwanza, kwani ni siku ambayo kiwanda chao tegemewa kinachozalisha burudani na chenye misosi havvy ya kila aina, The Cask Bar & Grill kiliungua na kuteketea kabisa kwa moto.

Ni mwaka mmoja sasa tangu kutokea kwa tukio hilo ambapo tarehe 29 itakuwa kilele, zawadi za kurejesha shukurani kwa wateja wake na burudani full kiwangu kushushwa kwa stage. Pata simulizi kabla ya siku yenyewe toka kwa shabiki.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.