ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, February 4, 2020

VIFO VYA CORONA VYAFIKIA 427Corona Virus vimeua Watu 427 kufikia leo huku Watu 20,627 wakiathirika Duniani. Vifo viwili na waathirika 190 wametokea nje ya China.

Nje ya China, Mataifa 25 yamekumbwa na CoronaVirus huku Japan (20), Thailand (19) na Singapore (18) yakiwa na Waathirika zaidi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.