ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, February 12, 2020

MASAUNI AWASILI JIJINI ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisaini Kitabu cha Wageni baada ya kuwasili Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (kulia), kwa ziara ya kikazi itayohusu taasisi zilizopo chini ya wizara.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,akizungumza kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama na Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo(kulia), baada ya kuwasili jijini Arusha kwa ziara ya kikazi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiwa katika picha ya pamoja na  Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo(kulia),baada ya kumaliza mazungumzo yaliyohusu Ulinzi na Usalama. Naibu Waziri yuko  jijini Arusha kwa ziara ya kikazi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.