Quran Tukufu na Biblia Takatifu zote zinatambua Mamlaka kuu mbili ya Kwanza ni moja tu na kuu kuliko zote ni ya Mwenyezi Mungu Ahera Peponi/Mbinguni na ya Pili ni Mamlaka za Kaisari /Duniani.
Montevideo Convention- laws of State 1933 inatambua nchi kuwa huru kujiamlia mambo yake "Sovereign". Sheria pia inaruhusu ushirika na mahusiano ya kitaifa, kikanda na kimataifa (Domestic,Municipal and International diplomatic and consular relations) Sheria zinatokana na jamii na jamii huzaa sheria "Ubi societus ibi ius..."
Mfumo wetu wa Kiongozi unazaliwa na STKMMB zitokanazo na Katiba yetu ya JMT' 1977 inatambua dini ila Serikali hafungamani na dini,Inatoa haki mfumo wa Vyama vingi, Demokrasia,Uhuru wa mawazo, Uhuru wa mihimili (Separation of power.
Mada ndefu pana na kinzani hutegemea mazingira ya nchi mfano Tanzania na nchi nyingi Afrika,Ulaya na Marekani hatuna 100% Institutional Separation, Functional Separation, Personnel Separation kama Montesque alivyokusudia na badae kina John Lock, Jean Jacque Rossoue nk).
Hivyo dhana kwamba kila kitu lazima kiamliwe Bungeni au Mahakamani sio sahihi sana ni kukariri theory Mhe. Kaka yangu Zitto Kabwe than impe-fact's in issue n' practice inategemea ni jambo gani, mazingira (season and reason 'racio desdent')ulali wa necessity mfano kwa uchache economic intelligence and sabotage na viability to Public interest etc may surpass and prevail the later. Ref.
Upanuzii wa eneo la Ujenzi wa Ikulu ya Urusi, Viwanja vya ndege Ujerumani baada ya Vita ya kwanza, WED nk.
Plato mwanafunzi wa Socrates aliwahisema "Every human was born free but always bound in chains" Kwa dibaji hiyo fupi ni vema tukajua tunahaki za Binadamu Ibara ya 12-29 na password yake ni Ibara ya 30.
Sio sahihi kutafsiri haki za Binadamu bila kuisoma sambamba na Ibara inayotoa mipaka ya Uhuru, Haki na wajibu wako kabla ya kuzifurahia ni upotoshaji mkubwa. Bakuna Uhuru usio na mipaka Duniani wala Mbinguni.
Nichukizo sana kwa Mabepari na Vibaraka wao kuona hata bila wao Taifa letu tumeweza kushinda mengi; Vita dhidi ya Ujinga,Umasikini, Maradhi,Utegemezi, Rushwa, Ushoga,Maadili utumishi, Madawa ya kulevya, Uhujumu Uchumi nk. imepiganwa kwa ufanisi hodari 4yrs only tumeshuhudia Maendeleo makubwa kila sekta.
Mtasikia mengi, Wapingaji wanatafuta nongwa, Kiki na Agenda za Uchaguzi 2020 mchana kweupe tena kwa tochi.
Hofu ya kushindwa vibaya uchaguzi imetanda CHADEMA na ACT, ndio maana ya Vilio hivi vya Kitoto, Uzushi, Uchochezi Waraka na Barua; hata kabla haijamfikia mlengwa na kuisoma, inasomwa hadharani (Via Social Media)na kuanza kumtisha Mhe. Rais wetu na kutishia Watanzania kwa kauli nanukuu "Kutakuwa na machafuko, kabla,wakati na baada ya Uchaguzi".
"Tunawahakikishia hii Nchi haitakuwa salama"..."...Kunampasuko mkubwa" nk sioni Busara (Ne' Ubelima fides/NoUt-most good faith)ya kufunga mjadala kabla mlengwa hajaisoma na kuijibu Barua hiyo, zaidi inaonekana nia ovu na maandalizi ya kudai kwa nguvu hoja hizo dhaifu zisizo na ushahidi zijibiwe na Rais wetu alie-busy kutatua kero za Wananchi wake waliomchagua (It's an overt act and preparation to disruption of Public order, peace and tranquility).
Ni dhahiri Upinzani umekosa Agenda za kisiasa zinazoigusa jamii ya Watanzania ili iwaamini na kuwapigia kura kutokana na Siasa biashara,maslahi na za ki Yuda na Ukigeugeu, hawana Wagombea makini, wana poor Organization Vyama vipo mjini tu na hawana ofisi na anuani mpaka vijijini waliko wapiga kura wengi.
Hakuna maendeleo waliyowafanyia Wananchi kama alama (No tangible Legacy) hawana Rasilimali pesa wamekula ruzuku na misaada ovyo kwa maslahi binafsi na kiu ya madaraka, wanatumia mbinu ya kusaka huruma ya kisiasa(Appeal to Political Sympathy) kwa Wafadhiri na Wananchi kwa kuzusha visingizio bingo kabla ya kushindwa uchaguzi (pre-emption medhod), Uchaguzi mdogo waliususia bila kutafakari madhara(Un-presumed/un-calculated), leo wanaomba tena urudiwe? (Afterthought).
Demokrasia kwao haipo ila Serikali ya CCM ilikubari kushindwa, wakatangazwa na Tume huru ya Uchaguzi(leo wanaiponda), imewapa heshima zote za Kibunge na kutii haki,Kinga na madaraka yao, inawalipa ruzuku kila mwezi, imewapa kwa kutii sheria na demokrasia KUB, Unadhimu na front benches kwa vyama, Ukamishina, Ubunge uwakilishiEAC, PAP nk bado eti wanadai hakuna Demokrasia wala Tume huru ya Uchaguzi; Kama kweli why hawajiuzulu Ubunge kama walitangazwa na Tume isiyohuru na haramu?
Wameacha Uongozi na kuwa watunga sinema zakujiteka na kujizushia kukamatwa, hatujasahau walizusha uongo wa Trillion 1.5, Bombedier zinazonunuliwa Sio mpya ni used, leo wao ndio abiria hahaaa ukistaajabu ya Mhe. Mbowe utayaona ya Mhe. Zitto Kabwe ni ngonjera za Hon. Lissu /Fatma 2017 na Mhe. Maalim Wagombea urais Watarajiwa Tz Bara na Visiwani 2020.
Wamepoteana hawaelewani wamevurugwa kama wajenzi wa Mnara wa Babeli kila mtu anapambana na Hali yake.
Kwa Uongozi wa CCM na Dr. JPM, Uvccm walinzi wa Taifa,Chama na Viongozi Nchi iko salama tuko vizuri hatutetereki mbele ya Ulinzi wa Mungu, Sheria na Haki. Mhe. Rais JPM, VP Mama Samia, PM Majaliwa, MMK Mangula, KM Bashiru, Comred Kheri na Watanzania wote tusonge mbele Msiogope... Joshua 1:8-9.
"MRADI MUNGU ANATUMIKIWA NA ANAHESHIMIWA NA WATU WAKE, MANENO YA MAADUI WA TAIFA YASIWAHANGAISHE WALA KUWATISHA" MT. Vicent wa Paulo.
Mungu atazidi kuwaumbua na kuwaaibisha MAADUI wa Tanzania huru kila leo". Amina!
Wacha maneno chapa kazi kwa maendeleo ya Watanzania-Tukutane October '20 Wananchi wataongea.
Ni ushamba, Usaliti/ Judaism na Sio uungwana kuchafua Nchi yetu Ughaibuni kutafta Kick za kisiasa hata wao wanawaona wajinga, na tunajua mko 60% ya kupata Uraia wa Ujerumani na Ubelgiji kwa jina la ukimbizi wa Kisiasa, mnatafta Justification tu ili mkubaliwe kwa kuichokonoa na kuichafuaa Serikali mvuruge Amani ya Nchi yetu kwa kuwa mna pa kukimbilia.
Endeleeni kuchezea Amani yetumtauona mkono wake Bwana Mungu wetu alie mbinguni. Atatuokoa dhidi ya taama zenu ovu kwa Taifa!
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.