ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, January 8, 2020

SADIO MANE ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA AFRIKA 2019 ๐Ÿ† JUU YA SALAH NA MEHREZMshambuliaji wa Liverpool Sadio Mane amenyakuwa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2019, katika sherehe iliyofanyika usiku uliopita nchini Misri katika eneo la ufukwe wa Hurghada.
.
Mane amemshinda mchezaji mwenzake wanayekiputa klabu moja Mohamed Salah wa Misri na Mahrez aliyeiongoza Algeria akiwa nahodha katika michuano ya kombe la mataifa ya Afrika yakiyofanyika mwaka jana nchini Misri na anayekiputa katika klabu ya #ManchesterCity 

✂HII HAPA ORODHA YA WACHEZAJI WANAOUNDA KIKOSI CHA FifPro Africa Best XI  FOR 2019

Andre Onana (GK) ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ
Serge Aurier ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ
Joel Matip ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ
Kalidou Koulibaly ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ
Achraf Hakimi ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ
Idrissa Gana Gueye ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ
Riyad Mahrez ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ
Hakim Ziyech ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ
Mohamed Salah ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ
Pierre-Emerick Aubameyang ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฆ 
Sadio Manรฉ ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ

#CAFAwards2019

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.