Maombi hayo yamefanyika JUMAPILI ya Novemba 03, 2019 katika ibada maalum ya kumpongeza Dkt. Mutash baada ya kusimikwa kuwa Mchungaji wa Kanisa la EAGT Kiloleli.
Viongozi mbalimbali wa Serikali wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella wamehudhuria ibada hiyo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.