"Habari za saa hizi wana Yanga Kuna habari zinaenezwa kuwa majeruhi wamepelekwa Hospitali ya Tumbi, habari hizo sio za kweli, wagonjwa wamepatiwa huduma ya kwanza na Daktari tuliye naye safarini na sasa tunaendelea na safari baada ya kampuni ya ile gari kutupatia gari nyingine, kwa hiyo tumeamua kuendelea na safari ili kutimiza lengo la kuisapoti timu yetu YANGA, kama kutakuwa na tatizo tutapeana taarifa tunawaomba mtuombee kwa Mwenyezi Mungu ili tufike salama" Han 's Kashata amepenyeza ujumbe
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.