"Wasanii sisi tumegawanyika mno, hatupendani, watu wanaweza kutoana hata roho kwa sababu ya chuki, lakini kumbe maisha si lolote si chochote, umaarufu wetu, fedha zetu na mali zetu wala hazina nafasi kwenye maisha" Hii ni sehemu ya kauli ya Mrisho Mpoto al maarufu Mjomba wakati akielezea jinsi gani kaguswa na msiba wa Mtangazaji nguli Ephraim Kibonde aliyezikwa jana kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.