ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, December 2, 2018

CHELSEA YAIKONG'OTA FULHAM 2-0.

Timu ya Chelsea imeweza kurudi kwenye morali ya ushindi baada ya kuibamiza Fulham mabao 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London.

Magoli ya Chelsea yamefungwa na Pedro dakika ya 4 na jingine limefungwa Ruben Loftus-Cheek dakika ya 82.

Kwa ushindi huo Chelsea inafikisha pointi 31 baada ya kucheza mechi 14 na kupanda hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.