GSENGOtV
Jumapili ya tarehe 18 mwezi Novemba 2018 katika kanisa la Anglican Nyamanoro wilayani Ilemela Jijini Mwanza imefanyika ibada takatifu ya Ubatizo, mmoja kati ya vijana waliobatizwa ni Cuthbert Albert ambaye ni mwanangu.
Huku ukishuhudia yaliyojiri, jifunze kitu katika ibada hiyo.
Kazi ya Mungu inaendeshwa kwa nguvu ya moto, ubatizo wa Roho Mtakatifu na kwa moto. Mtu aliyebatizwa kwa Roho Mtakatifu, moto unawake ndani yake na hawezi kuacha kushuhudia au kuhubiri na kufundisha (Yeremia 20:9; Isaya 62:1; Matendo4:20).
Mtu aliyebatizwa kwa Roho Mtakatifu,maneno yake huwa moto unaoteketeza kila ugumu wa mioyo ya watu kwa kuwa Roho Mtakatifu hushuhudia pamoja naye na hivyo matokeo yake ya utumishi wake huwa makubwa. Ni nguvu kwa ajili ya Utumishi (Yeremia 5:14; Yohana 15:26-27;16:6-8;Mika 3:8)
Ibada ya Ubatizo wa Cuthbert
Amani ya Bwana iwe nawe.
Iwe nawe pia.
Waumini wakitoka kwenye ibada.
Cuthbert Albert.
Kutoka kushoto nyuma ni Mr. Albert, sis Rodha Sengo na Mrs Albert, na mbele kutoka kushoto ni Cedrick na Cuthbert.
Mama na wanae.
Baba na wanae.
Vijana.
Mr and Mrs Albert G.
My Sis and My Wife.
Tukiwa na Baba wa Ubatizo wa Cuthbert.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.