ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, November 20, 2018

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK.SHEIN AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLA KATIKA SHEREHE ZA MAULIDI YA KUZALIWA MTUME (S.A.W) VIWANJA VYA MAISARA SULEIMAN ZANZIBAR.

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi, alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman, katika  hafla ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W ), Maisara Zanzibar.jana usiku 19-11-2018.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa jukwaa kuu wakiwa wamesimama wakati ikisomwa Qaswida ya Kumtakia Rehema Mtume (S.AW) kabla ya kuaza kwa hafla hiyo ya Maulid yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman  Zanzibar jana usiku.19-11-2018.(Picha na Ikulu)
 NAIBU Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali, akizungumza na kutowa maelezo ya hafla hiyo ya Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar jana usiku,19-11-2018.(Picha na Ikulu)
 MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwa na Wake wa Viongozi na Wananchi akihudhuria Maulid Matukufu ya kuazaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar jana usiku.19-11-2018.(Picha na Ikulu)
 WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakihudhuria hafla ya Maulid Matukufu ya Kuzaliwa Mtume Muhammad(S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya mpira vya Maisara Suleiman Zanzibar usiku tarehe 19-11-2018.
 MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi akiongoza dua ya ufunguzi wa Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika viwanja vya mpira Maisara Suleiman Zanzibar, kulia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe. Dk Alhajj  Ali Mohamed Shein na kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.(Picha na Ikulu)
 WANAFUNZI wa Madrassa Nouru’l Iman  kutoka  Karakana Mkoa wa Mjini Magharibi   Unguja, wakisoma Qaswida  wakati wa hafla ya Maulidi ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika Kitaifakatika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar  jana usiku 19-11-2018.(Picha na Ikulu)
 USTADH Mohammed Haji Khatib, kutoka Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja,  akisoma Mlango wa kwanza Barzanj katika hafla ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad(S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar jana usiku.19-11-2018.(Picha na Ikulu)
 MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwa na Wake wa Viongozi  na Wananchi wakiwa katika kisimamo cha kumtukuza Mtume Muhammad (S.A.W) wakati ukisomwa mlango wan ne wa Maulid ya Barzanji, yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar. jana usiku 19-11-2018.(Picha na Ikulu)
 BAADHI ya Wanafunzi wa Madrasa mbalimbali za Zanzibar wakihudhuria  sherehe za Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammed (S.AW) wakiwa katika kisimamo cha mkumsalia Mtume (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Serikali wakihudhuria sherehe za Maulidi ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) wakati wamesimama wakati wa kumsalima Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar jana usiku.19-11-2018.(Picha na Ikulu)
 WANAFUNZI wa Madrassa Qadiriya kutoka Amani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakiwa katika Qiyamm wakimsalima Mtume Muhammad (S.A.W) sherehe za Maulid ya kuzaliwa Mtume (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar jana usiku 19-11-2018.(Picha na Ikulu)

SHEIKH Mohammed Kassim kutoka Ofisi ya Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar, akisoma Khutba ua Kiswahili, wakati wa sherehe za Maulidi ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar jana usiku 19-11-2018.(Picha na Ikulu)

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.