MasauniAkabidhiwaOrodhayawatuhumiwaDawazaKulevya
Zanzibar
Na Mwandishi Wetu
Wananchi wa eneo la
Sogea, Wilaya ya Mjini Unguja wamemkabidhiNaibuWaziriwa MamboyaNdaniyaNchi,
MhandisiHamadMasauni,
orodhayawatuwanaoshukiwakujihusishanauuzajiwadawazakulevyaVisiwani Zanzibar.
WananchihaowamekabidhiorodhahiyobaadayaNaibuWaziriMasaunikuwatakawaorodheshemajinayawatuwanaowafahamuwakituhumiwakujihusishanabiasharahiyoambayoimekuwaikiaribunguvukaziyaTaifanakusababishakuwepokwamatukioyauhalifukatikasehemumbalimbaliVisiwanihumo.
AwaliwakiwasilishakerozaokwanyakatitofautiwananchihaowaliiombaserikalikudhibitibiasharahiyoyadawazakulevyakwaniimekuaikishamirikwakasiVisiwanihumonawakishangaaukimyawamamlakahusikakuachabiasharahiyoikizidikuletamadharakatikajamii.
AkizungumzakatikaMkutanohuowahadhara,
NaibuWaziriMasauniamewaahidiwananchihaokuchukuahatuamadhubutikukabiliananawauzajiwadawazakulevyahukuakitoamaelekezokwaJeshi
laPolisikuwakamatawatuwotewaliotuhumiwanauchunguziuanzemaramoja.
“HatuwezikamaTaifatukawanavijanaambaohawanafaidakatikajamii,
vijananinguvukaziyaTaifa, tutahakikishamajinayaliyoletwahapatunayafanyiakazinanatoamaelekezokwaJeshi
la Polisikuhakikishawatuhumiwahaowanakamatwananitahitajiripotihiyondaniya wiki
mbili, haiwezekaniwatuwachachewaharibunguvukaziyaTaifakwamaslahiyaobinafsinafamiliazao,”
alisemaMasauni
Akizungumzakatikamkutanohuo,
KamishnaMsaidizi,Saleh Mohamed Saleh,
aliwaombawananchikuzifikishataarifazauhalifukatikavituovyaJeshi la Polisi au
SerikaliyaMtaailihatuaziwezinachukuliwailikuwezakudhibitiuhalifukatikamaeneoyao
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.