GSENGOtV
🕎....Kazi nzuri imefanyika Jumamosi ya 29Sept2018 katika viwanja vya shule ya Sekondari Loreto ambapo @jembefm inaendelea kutoa nyenzo muhimu za masomo kwa ajili ya elimu. Ni katika kuonesha nia ya dhati ya kuisaidia jamii katika nyanja husika.
Shuhudia jinsi wadau walivyoshusha madini.
ImekaajE?
#ElimikaNaJembeFm
#LoretOsecSchooL
#Mwanza
Time kupandikiza madini......👉 #TimeKupandikizaMadini
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.