GSENGOtV
Tizama jinsi shilingi 500/= tu inavyoweza kumtajirisha mtu.
Focus Lusato (kulia) ambaye ni Meneja Rasilimali watu Kampuni ya SBC Tanzania Limited watengenezaji wa soda jamii ya Pepsi akikabidhi fedha taslimu shilingi milioni moja (1,000,000/=) kwa Jofrey Benjamin mwenye umri wa miaka 17 aliyejishindia kitita hicho wakati akinywa soda katika banda la promosheni la kampuni hiyo viwanja vya Nane Nane Nyamhongolo jijini Mwanza. Shuhuda wa mwisho kushoto ni Gabriel Mkuele Msaidizi Meneja Uzalishaji SBC Mwanza.
Abou Kassimu Marekani akionesha mkwanja wake fedha taslimu shilingi laki tano (500,000/=) aliyejishindia kitita hicho wakati akinywa soda katika banda la promosheni la kampuni hiyo viwanja vya Nane Nane Nyamhongolo jijini Mwanza. Focus Lusato (kulia) ambaye ni Meneja Rasilimali watu Kampuni ya SBC Tanzania Limited watengenezaji wa soda jamii ya Pepsi na kushoto ni Gabriel Mkuele ambaye ni Meneja Msaidizi Uzalishaji SBC Mwanza.
Focus Lusato (kulia) ambaye ni Meneja Rasilimali watu Kampuni ya SBC Tanzania Limited watengenezaji wa soda jamii ya Pepsi akikabidhi fedha taslimu shilingi laki tano (500,000/=) kwa Izengo S. Kadawi aliyejishindia kitita hicho wakati akinywa soda katika banda la promosheni la kampuni hiyo viwanja vya Nane Nane Nyamhongolo jijini Mwanza. Shuhuda wa mwisho kushoto ni Gabriel Mkuele Msaidizi Meneja Uzalishaji SBC Mwanza.
Washindi wakipata picha ya pamoja na Meneja mauzo SBC Tld Kanda ya Ziwa Bwana Hussein Mkwawa (kulia).
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.