GSENGOtV
Hatimaye washindi wa mamilioni ya vinywaji vya Kampuni ya SBC Tanzania Limited, watengenezaji na wasambazaji wa vinywaji baridi aina ya Pepsi, Mirinda, 7up, Mountain Dew na Evervess, wameanza kujitokeza mara baada ya kujishindia zawadi toka vinywaji hivyo. Chekshia washindi walivyojinasibu mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.