ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, July 10, 2018

YANGA YANYAKUWA KIFAA HIKI.

Mohamed Issa 'Banka' amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga Sc 

Mnamo mwezi Disemba mwaka jana klabu hiyo ilishindwa kumsajili mchezaji huyo nao mahasimu wao Simba wakaibuka kwa mbele na kupeleka ofanono kwa Mtibwa Sugar kwa ajili ya kumnasa kiungo huyo lakini haikujulikana nini kiliwasibu hata wakashindwa kufikia lengo.

Sasa ni rasmi Mohamed Issa ametua Yanga.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.