ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 16, 2018

SHANGWE ZINAENDELEA NCHINI UFARANSA BINGWA KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUINYUKA CROATIA 4-2



Mabao yalivyofungwa

  • Ufaransa 1-0 Croatia Mario Mandzukic: bao la kujifunga dakika ya 18
  • 1-1 Ivan Perisic dakika ya 28
  • 2-1 Antoine Griezmann: Penalti dakika ya 38
  • 3-1 Paul Pogba: dakika ya 59
  • 4-1 Kylian Mbappe: dakika ya 65
  • 4-2 Mario Mandzukic: dakika ya 69

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.