GSENGOtV
πΈ.....Mapema leo asubuhi Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mhe. Stanslaus Mabula alipotembelea kituo cha Jembe Fm 93.7 Mwanza kipindi cha #Mchakamchaka ikiwa ni ziara yake kuvitembelea vyombo mbalimbali vya habari mkoani Mwanza. . .
Marudio ya mahojiano hayo kusikika kesho Jumatano saa 4 usiku mara baada ya #SportsRipoti HAPA JEMBE FM.
Kutoka kulia ni Mhe. Mabula na watangazaji wa kipindi husika ni @florenciapeter @deejaykflip na @jimmyfbi123
ZIARA YA MBUNGE JIMBO LA NYAMAGANA KATIKA TAASIS ZA HABARI KWANZIA JUMATATU TAREHE 16.07.2018 HADI TAREHE 18.07.2018
Ndugu wana Nyamagana na watanzania wote kwa ujuma, Mbunge Jimbo la Nyamagana Mhe Stanslaus Mabula ameanza leo tarehe 16.07.2018 Ziara ya siku tatu katika Vyombo Vya habari kwa siku tatu hadi mnamo siku ya Ijumatano tarehe 18.07.2018.
Dhima ya ziara hii ni kuelewa ofisi zao, kujenga Mahusiano bora na taasis za habari na wanahabari wote kwa ujumla. Katika ziara hii pia atapata fursa ya kushiriki baadhi ya vipindi katika kuelezea utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi wa CCM 2015-2020。
RATIBA YA TAREHE 17.08.2018
Saa 1:00-03:00 Asubuhi Jembe Fm
Saa 3:00-03:30
Gsengo Blog
Saa 03:30-04:00 Asubuhi
Kazi Maalum
Saa 04:00-4:30 Asubuhi
Gazeti la Uhuru
Gazeti la Mzalendo
Radio Uhuru
Saa 4:30-5:00 Asubuhi
Lake Fm
Saa 5:00-6:00 Mchana
Ofisi za IPP MEDIA
ITV
Radio One
East African
Gazeti la Nipashe
Saa 6:00-7:00 Mchana
Gazeti la Kanda Mzawa
Saa 7:00-8:00
Barmeda Tv
Kila siku tutawajuza ratiba ya ziara.
Asanteni ππΌππΌππΌππΌππΌ
Imetolewa na
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la NyamaganaπΉπΏ
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.