Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi,Kangi Lugola, akimuuliza swali,Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya
Uzalishaji Vitambulisho, Alphonce Malibiche (kushoto), wakati wa ziara ya
kutembelea Kituo Kikuu cha Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa,kilichopo
Kibaha,Mkoani Pwani.Wapili kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Vitambulisho vya Taifa(Nida),Andrew Masawe.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mkurugenzi Mkuu wa
Idara ya Uzalishaji Vitambulisho,Alphonce Malibiche,akifafanua jambo wakati wa
ziara ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Kangi Lugola(wapili kulia),kutembelea
Kituo Kikuu cha Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa,kilichopo Kibaha,Mkoani Pwani.Wakwanza kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Vitambulisho vya Taifa(Nida),Andrew Masawe.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi,Kangi Lugola akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho
vya Taifa(Nida),Andrew Masawe wakati wa ziara yake ya kikazi kutembelea Kituo Kikuu cha Uzalishaji
Vitambulisho vya Taifa,kilichopo Kibaha,Mkoani Pwani.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi,Kangi Lugola akisalimiana na watumishi wa Mamlaka ya Vitambulisho
vyaTaifa(Nida), baada ya kuwasili Kituo
Kikuu cha Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa,kilichopo Kibaha, mkoani Pwani.Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi,Kangi Lugola (watatu kulia), akiwa katika picha ya pamoja na
Watendaji Wakuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(Nida), baada ya kutembelea
Kituo Kikuu cha Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa,kilichopo Kibaha,Mkoani Pwani.Wapili
kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya
Taifa(Nida),Andrew Masawe Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.